Bigirimana wa EPL ataka 700M kuvunja mkataba Yanga

Bigirimana wa EPL ataka 700M kuvunja mkataba Yanga

Kama timu za bongo hazijawekeza kwa scouting na madaktari bora ambao watawacheck wachezaji wa bingo kabla ya kusajiliwa,kila siku hawa wageni watakuwa wanapiga hela na wenzetu wapo vizuri kwenye kuandaa mikataba yao.

Najua mnawacheka Yanga ila kuna Okwa nae anataka dola 200000 ndipo avunje mkataba,mistake zile zile Kambole nae anasubiri kuvuta mzigo wake sijui tutajifunza lini.
Timu zetu hazikubali kujifunza.
 
Yanga ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na kama kuondoka, basi wavunje mkataba ambao Yanga italazimika kulipa zaidi ya 700 milioni za Kitanzania, hivyo kufanya jambo la kuondoka kuwa gumu na huenda akasalia mitaa ya Jangwani.

My Take
Niliwaambia huku ni kununua bidhaa mitandaoni.
Hayo ndio mambo ya mkataba linapokuja suala la m1 anataka kuuvunja,ni kama kwa fei tu akae na Yanga ajue Yanga wanataka sh awalipe asepe sio kuvunja kienyeji vile!
 
Wachezaji kama hawa ni kuwakalisha bench mpaka akili zimrudie.
Yule haoni shida kukaa benchi maana mpira wenyewe alishaacha. alikuwa anafanya kazi kwenye mawarehouse huko london
 
Back
Top Bottom