Bigirimana wa EPL ataka 700M kuvunja mkataba Yanga

Vipi Okwa mlinunua Guest?
 
Timu zetu hazikubali kujifunza.
 
Hayo ndio mambo ya mkataba linapokuja suala la m1 anataka kuuvunja,ni kama kwa fei tu akae na Yanga ajue Yanga wanataka sh awalipe asepe sio kuvunja kienyeji vile!
 
Wachezaji kama hawa ni kuwakalisha bench mpaka akili zimrudie.
Yule haoni shida kukaa benchi maana mpira wenyewe alishaacha. alikuwa anafanya kazi kwenye mawarehouse huko london
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…