sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kiukweli aina hii ya kilema inewafanya wanaume wengi sana kutokua na amani hata wawe matajiri, wanavaa fresh, wacheshi, n.k. yani hakuna kitu wanaogopa kama kushare mwanamke na mtu mwenye umbile kubwa.
Ugonjwa huu naweza kuuita bigsize phobia, mwanaume mwenye umbile dogo anaogopa mwanaume mwenye umbile kubwa kumchapia mwanamke wake, anaona mapungungufu yake yanaweza kumhatarishia mahusiano, mwanamke wake akitanuliwa njia hapo hafui dafu tena.
Ushahidi #1: biashara ya kuuza dawa za kunenepesha na kurefusha uume ina wateja wengi sana, wengine wamejenga na wanalisha familia zao kwa kuuza hiz dawa licha ya kwamba wengi wanaonunua hawaoni matokeo lakini watanunua kwengine..... hebu ingia tu hata youtube uone video za dawa hizi zilivyo na views nyingi, huu n ushahidi wengi hawapeni ndogo zao
Ushahidi #2: nilipokua shulei boarding kulikuwa na bafu la wazi mnaoga wengi, tulishazoea kuoga bila chupi lakini kuna wenzetu wachache walikuwa wanaoga na chupi, wengi wao walikuwa na maumbile madogo maana hata maji yanapofanyachupi ishikane na ngozi, ni kama walikuwa flat.
Ushagidi #3: sehemu za kukojoa hasa katika vyoo vya kuchimba dawa safarini niligundua kwamba wengi wenye ndogo hukimbilia kukojoa kwenye vyoo vile vya kujifungia, kuna wawili nilikuwa nikisoma nao chuo, wakiwa safarini wanaenda vyoo, kuna mgomo uliwahi kutokea walikamatwa, huko polisi mda wa kuoga kwa lazima siri zai tulivujishiwa.