Biharamulo: Kampeni, kura na matokeo!

Biharamulo: Kampeni, kura na matokeo!

Rodham ndio maiden jina lake so what do you mean kabla hajaitwa Rodham? Her full name before marrying Bubba was Hillary Diane Rodham. Hilo la Bowmann limetoka wapi bana...au ushalewa mataputapu yako? Acha kumharibia Mama....Mama wa shoka huyo na unajua jinsi ninavyomzimia...oohoooo....

Wakati Fundi Mchundo akimchumbia! Wewe si mtu wa Palin? Au umeishaamua kuhama boti inayozama?

Amandla.........
 
Wakati Fundi Mchundo akimchumbia! Wewe si mtu wa Palin? Au umeishaamua kuhama boti inayozama?

Amandla.........

Ahahahahahahaaa....wewe ulikuwa wapi siku zote? Mimi ni mtu wa Mama...nime ride na Mama throughout the primaries na zilipoisha nika switch camps.....everybody in here knows it....except obviously wewe tu
 
Ni nani ana copy ya Pingamizi ya Chadema ili tuone nini walikipinga kwa Oscar na swala la uraia walilipinga vipi ili tupate uwanja mzuri wa kumjua Oscar.

Na kama baba yake Oscar mukasa a.k.a Rwegasira walihamia Biharamulo walikuwa wanatoka wapi?

Na je bibi zake Oscar wako wapi au walizikwa wapi hii pande zote mbili za baba na mama.

Na je baba na mama yake Oscar wana ndugu na kama wapo je ni wakazi wa mkoa gani au nchi gani.

Ila kama Chadema hawakwenda mapema uhamiaji na vizazi na vifo na kwenye vyeti vya ndoa kama vipo mapema kabla ya pingamizi wasijisumbue kwani Chama cha Rostam watakuwa wamesha badilisha kama Kagoda.
 
- Again ahsante sana na hizi info mkuu, ninarudia tena reading between the lines, ni kwamba kisheria Oscar ni raia wa Tanzania hilo halina ubishi na ndio maana Chadema sasa wanashauriwa kunga'ng'ania makosa ya CCM kutojaza fomu sawa sawa, je tuko pamoja wakuu au?

FMEs!

Yes RITA
 
1. Passport yake ina jina la Oscar Rwegasira Mkasa na hata kwenye fomu ya tume amejaza majina yote matatu.

2. Suala la uraia wa Oscar ni jambo ambalo chadema wamekuta linazungumziwa kila kona ya biharamulo.

3. Kijiji alichosema amezaliwa wanakijiji wanakataa na kusema wazazi wake sio watu wa hapo bali ni wahamiaji,

4. Oscar anaweza kuwa raia wa Tanzania lakini amelikoroga mwenyewe.

5. Utata kwamba amezaliwa wapi ni yeye mwenyewe ameuanzisha kwa kutokuwa makini.
Na jinsi alivyojaza fomu
.

- Hizi points zinaonyesha kwamba huko hakuna kesi, ila matatizo ya technicalities za ujazaji fomu ya mgombea, unless kama kuna habari mpya zaidi ya hii ianoneakana kwamba somehow somewhere kuna something, na ninaamini kwamba one of the two sides, either CCM na Oscar au Chadema is not telling the whole truth hapa!

- Lakini in the end tutajua ni nani tena very soon!

Respect.

FMES ni sawa, tatizo lipo, nawe umelitambua, ni hili la 'Technicalities za ujazaji fomu ya mgombea' hapo ndipo ngoma ilipo. Mbeya lilukuwa tatizo kama hili ambalo ni la kisheria lakini mkuki kwa nguruwe bwana. Ingekuwa ni Chadema ingetosha kumnyima sifa.
 
- Mkuu sina uhakika na hukumu ya technicalities za ujazaji fomu za uchaguzi wa ubunge, yaani implications zake kisheria za uchaguzi kwa sababu nimeona kwamba Mkurugenzi amesema kwamba makosa yaliyokiwisha fanyika haya-amount into kum-disqualify mgombea wa CCM,

- JF ni watu tulioenda shule angalau kidogo sasa tuwe waangalifu na kauli zetu kwa jamii tusije kuchochea vurugu bila facts, binafsi siamini kwamba maamuzi yaliyofanywa Mbeya hayakuwa na back up za kisheria za uchaguzi, kama ambavyo huku Biharamulo itakvyokuwa, mkuu kumbuka uchaguzi wa Tarime haukufanyika Kenya, ilikuwa ni Tanzania na Chadema walishinda na hakukuwa na malalamiko yoyote toka vyama vingine.

- At this point and time kwa kusoma yote yanayohusu huyu mgombea, I have a feeling kwamba kuna something somewhere that is not right, lakini tatizo ni kwamba Chadema hawakuwa makini katika kui-handle hii ishu for their political benefit, wasingeharakisha kupiga kelele, ingawa ninaikubali sana kauli moja nzito aliyonipa jana nilipoongea na Mkulu Lunyungu ambaye sasa hivi yuko huko biharamulo tayari, kwamba going through all the stuff ni kwa faida gani na ya nani hasa? Ninasikitika sana kwamba Lunyungu, anapongea one on one anakuwa na very strong message, na more effective kuliko anapoandika. Ninaamini kwamba leo NEC wanatakiwa kujibu rufaa ya Chadema on this ishu ngoja tusubiri matokeo.

Respect.

FMEs!
 
Field Marshall Es,
Mkuu unakumbuka uchaguzi wa Mbeya kijijini?.. Je maswala yaliyomkuta mgombea wa Chadema haikuwa sawa na haya!...ilikuwaje ukaunga mkono hoja za CCM kuhusiana na mgombea wa Chadema kukosea kujaza fomu lakini hapa nakuona umelala upande wapili!..
 
- Bob mimi sio mchawi wa hii ishu, ninasema hivi behind maamuzi yote yanayohusu hizi chaguzi kuna sheria, sasa ninasema hivi kwenye uchaguzi wa Mbeya NEC waliamua on sheria, je walikosea na kuwaonea Chadema bila kufuata sheria inavyotakiwa?

- Kwenye hili la Oscar, si mkurugenzi ameshasema tayari kwamba sheria iko wazi, makosa yaliyofanyika haya-amount to Oscar kuzuiwa kugombea? Sasa help all of us eti wamekosea sheria au? Na nisheria ipi hiyo mkuu iliyopindishwa hapa?

Respect.

FMEs!
 
Ni muhimu ikawa bayana kuwa sio kila kosa katika uchaguzi adhabu yake ni kumzimamisha mgombea kushiriki uchaguzi.
CHADEMA acheni kulialia nendeni vijijini mkapige kampeni, siasa sio lele mama.
 
Ni muhimu ikawa bayana kuwa sio kila kosa katika uchaguzi adhabu yake ni kumzimamisha mgombea kushiriki uchaguzi.
CHADEMA acheni kulialia nendeni vijijini mkapige kampeni, siasa sio lele mama.

And Your Point is.....
 
Field Marshall Es,
Mku sijasema wewe mchawi wala hutakuwa!
Kosa la mgombea wa Chadema Mbeya lilihusiana na kujaza vibaya fomu.. na huyu kajaza vibaya fomu.. tuache habari zote za uraia zilizotangulia.. nachoshangaa mimi, hata kujaza fomu vibaya leo unakutetea wakati mgombea wa Mbeya uliona maamuzi ya NEC ni haki..
Oh! atakoseaje kujaza fomu wakati mtu ni mwanasheria blaa blaa blaa!.. maneno kibao yalizuka lakini kosa ni moja tu.. Kukosea kujaza fomu leo inaonekana sii kosa hivyo inapofikia CCM!
 
Ni muhimu ikawa bayana kuwa sio kila kosa katika uchaguzi adhabu yake ni kumzimamisha mgombea kushiriki uchaguzi.
CHADEMA acheni kulialia nendeni vijijini mkapige kampeni, siasa sio lele mama.

- Mkulu ZE, ahsante kwa msaada wako exactly ninachotaka kusema.

FMEs!
 
Lakini isn't that the same thing that CCM did in Mbeya? Same standard.
Double standards is order of the day when it comes to grund party. Had it been opposition party, a mare speculation was enough to bar them. The political playing ground is not level. The government created it, NEC knows it and CCM enjoys it.
 
Kwenye hili la Oscar, si mkurugenzi ameshasema tayari kwamba sheria iko wazi, makosa yaliyofanyika haya-amount to Oscar kuzuiwa kugombea? Sasa help all of us eti wamekosea sheria au? Na nisheria ipi hiyo mkuu iliyopindishwa hapa?

Mkuu, hio sheria aliosimamia mkurugenzi unaijua? unaweza kunipa hapa ili nijiridhishe na mimi kama wewe ulivyoridhika?

Asante sana kwa msaada.
 
Kwa kiasi fulani naifahamu hii familia ya Mzee William Mukassa. Nimesoma na Benard Mukassa, Stella Mukassa pale B’mulo shule ya msingi. Kwa ufupi ni familia yenye malezi bora, ya kidini na watoto wenye akili za kuzaliwa.

Mkuu Omutwale,

Hii Shule ilijulikana kama SHULE YA MSINGI MUSLIM

By the way Dada yake Oscar ni marehemu (RIP), alifia UDSM
 
Back
Top Bottom