Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Rodham ndio maiden jina lake so what do you mean kabla hajaitwa Rodham? Her full name before marrying Bubba was Hillary Diane Rodham. Hilo la Bowmann limetoka wapi bana...au ushalewa mataputapu yako? Acha kumharibia Mama....Mama wa shoka huyo na unajua jinsi ninavyomzimia...oohoooo....
Wakati Fundi Mchundo akimchumbia! Wewe si mtu wa Palin? Au umeishaamua kuhama boti inayozama?
Amandla.........
Kwa maelekezo ya Kamala na JKHivi, msimamizi wa uchaguzi ametupa pingamizi la Chadema kwa sababu gani?
- Again ahsante sana na hizi info mkuu, ninarudia tena reading between the lines, ni kwamba kisheria Oscar ni raia wa Tanzania hilo halina ubishi na ndio maana Chadema sasa wanashauriwa kunga'ng'ania makosa ya CCM kutojaza fomu sawa sawa, je tuko pamoja wakuu au?
FMEs!
1. Passport yake ina jina la Oscar Rwegasira Mkasa na hata kwenye fomu ya tume amejaza majina yote matatu.
2. Suala la uraia wa Oscar ni jambo ambalo chadema wamekuta linazungumziwa kila kona ya biharamulo.
3. Kijiji alichosema amezaliwa wanakijiji wanakataa na kusema wazazi wake sio watu wa hapo bali ni wahamiaji,
4. Oscar anaweza kuwa raia wa Tanzania lakini amelikoroga mwenyewe.
5. Utata kwamba amezaliwa wapi ni yeye mwenyewe ameuanzisha kwa kutokuwa makini. Na jinsi alivyojaza fomu
.
Kwa maelekezo ya Kamala na JK
kama ulivyokuwa mkono wa Masha na Ngeleja BUSANDA.mkono wa magufuli upo hapo.......
- Hizi points zinaonyesha kwamba huko hakuna kesi, ila matatizo ya technicalities za ujazaji fomu ya mgombea, unless kama kuna habari mpya zaidi ya hii ianoneakana kwamba somehow somewhere kuna something, na ninaamini kwamba one of the two sides, either CCM na Oscar au Chadema is not telling the whole truth hapa!
- Lakini in the end tutajua ni nani tena very soon!
Respect.
FMEs!
FMES ni sawa, tatizo lipo, nawe umelitambua, ni hili la 'Technicalities za ujazaji fomu ya mgombea' hapo ndipo ngoma ilipo. Mbeya lilukuwa tatizo kama hili ambalo ni la kisheria lakini mkuki kwa nguruwe bwana. Ingekuwa ni Chadema ingetosha kumnyima sifa.
Field Marshall Es,
Mkuu unakumbuka uchaguzi wa Mbeya kijijini?.. Je maswala yaliyomkuta mgombea wa Chadema haikuwa sawa na haya!...ilikuwaje ukaunga mkono hoja za CCM kuhusiana na mgombea wa Chadema kukosea kujaza fomu lakini hapa nakuona umelala upande wapili!..
Ni muhimu ikawa bayana kuwa sio kila kosa katika uchaguzi adhabu yake ni kumzimamisha mgombea kushiriki uchaguzi.
CHADEMA acheni kulialia nendeni vijijini mkapige kampeni, siasa sio lele mama.
Ni muhimu ikawa bayana kuwa sio kila kosa katika uchaguzi adhabu yake ni kumzimamisha mgombea kushiriki uchaguzi.
CHADEMA acheni kulialia nendeni vijijini mkapige kampeni, siasa sio lele mama.
Lakini isn't that the same thing that CCM did in Mbeya? Same standard.
- Mkulu ZE, ahsante kwa msaada wako exactly ninachotaka kusema.
FMEs!
Double standards is order of the day when it comes to grund party. Had it been opposition party, a mare speculation was enough to bar them. The political playing ground is not level. The government created it, NEC knows it and CCM enjoys it.Lakini isn't that the same thing that CCM did in Mbeya? Same standard.
Kwenye hili la Oscar, si mkurugenzi ameshasema tayari kwamba sheria iko wazi, makosa yaliyofanyika haya-amount to Oscar kuzuiwa kugombea? Sasa help all of us eti wamekosea sheria au? Na nisheria ipi hiyo mkuu iliyopindishwa hapa?
Kwa kiasi fulani naifahamu hii familia ya Mzee William Mukassa. Nimesoma na Benard Mukassa, Stella Mukassa pale Bmulo shule ya msingi. Kwa ufupi ni familia yenye malezi bora, ya kidini na watoto wenye akili za kuzaliwa.