Biharamulo: Kampeni, kura na matokeo!

Biharamulo: Kampeni, kura na matokeo!

Mzee umeanza P.....hivi Arcado Ntagazwa aliwahi kuwa na kesi na uraia wake kama nakumbuka vizuri, alikuwa Mbunge na waziri wa mazingira..lakini uraia wake ulileta utata sijui kesi ilishia wapi.....

- Hata Idd Simba aliwahi kuwa na kesi kama hiyo, and then what? Halafu utasema ninakufanya mbu mbu mbu!

- Kwa hiyo unasema sheria ya Tanzania inasema ukishakuwa na kesi ya uraia basi wewe sio raia? is that so? Sasa anayeongea P.... kati yangu na wewe ni nani hasa hapa? Ntagazwa baada ya kesi aliendelea kua waziri ofisi ya makamu wa rais, sasa what is the point?

FMEs!
 
I'm praying hili pingamizi la uraia litupwe ili Bimulo tupate uchaguzi wa ushindani kama Tarime, Kiteto na Busanda, mambo ya Mbeya Vijijini yasijirudie tukaishia uchaguzi mdororo na ushindi wa mteremko.
 
Kwenye hili mimi naungana na mzee Dilunga. Nikisema Mwanakijiji si raia wa Tanzania kwa nini iwe wajibu wa Mwanakijiji kuthibitisha uraia wake? It just doesn't make sense.
Sisi tunafuata mfumo wa sheria wa comon law, the burden of proof lies with the prosecution.
Yaani akidai Mwanakijiji sio raia, jukumu la Mwanakijiji ni kukanusha tuu kuwa sio kweli, wewe uliosema sio raia ndio uje na uthibitisho wa madai yako na Mwanakijiji anapangua, na sio Mwanakijiji anayekuja na nondo za uthibitisho wa uraia wake kwako. Yaani kwa maneno mengine, aliyekutwa na ngozi, ndiye aliyekula nyama, kujinasua ni kuthibitisha hiyo ngozi umeipata wapi.
 
Quote: Masanilo

1. Nilisema toka jana sina sababu ya kuweka personal za Oscar hapa hutaki kuelewa sio!

2.
Ninamfahamu huyu jamaa kuliko wewe najua mchakato mzima hadi kupita, alipigwa zengwe sana hadi JK alipoamua kufanya naye mazungumzo na kushawishi kikao.

3. Siwezi andika uzaifu wake hapa narudia, kama binadamu anamapungufu kama niliyo nayo mimi....!
Nimeongea naye pia na ninamtakia kila laheri kwenye uchaguzi huo ambao najua atashinda nitakuwa na baada ya uchaguzi nitakuwa na mazungumzo naye ili asije potelea kwenye dibwi la mafisadi na wazee walio CCM waliochoka kimawazo.

4. Acha kuongea naye
amekuwa akipata support yangu tokea mwanzo kuna vitu tuna tofautiana lakini mtizamo tu, si lazima niwe sahihi

Kayanga twende

Mas __________________
"People who drink to drown their sorrow should be told that sorrow knows how to swim." Ann Landers

- Okay mkuu sasa uweke wazi basi uraia wake maana wewe hapa unasema unamfahamu sana kuliko mjumbe mwingine hapo, au?

FMEs

Jamani watu tuna tegemea huyo jamaa aje JF akanushe au? Anyone who believes he is not a citizen atoe ushahidi hata kama ni cercumstantial evidence inayo weza kutupa sababu ya kuto kuamini kama jamaa ni rais. Nime soma post nyingi lakini most of the post zinazo support kuwa siyo Mtanzania hawaja toa ushahidi bali wana jaribu kuconnect dots ambazo hata hazieleweki.
1.Mna uhakika na uraia wa wazazi wake? Mnaweza kuthibitisha beyond a shadow of a doubt kuwa wazee wake siyo Watanzania?

2.Ukisha fanya hivyo then una jukumu lingine la kuthibitisha kuwa hakuukana uraia wa wazazi wake na kua Mtanzania.

Sheria za uraia Tanzania kwa kifupi zinasema mtu ni raia kwa a)kuzaliwa na wazazi wa kitanzania b)kukana uraia wa wazazi na kuomba uraia wa Tanzania c) kuoa au kuolewa na Mtanzania. d)kuomba uraia wa Tanzania idara ya uhamiaji. hii nimetoa to roughly mpate idea.

Sasa thibitisheni haja timiza moja wapo ya hayo matatu.
 
Quote: Masanilo

1.
Kwenye fani yake ya ICT yuko vizuri lakini tukija kwenye mambo mengine kama mwanasiasa sidhani kama anafaa, siwezi kwenda personal kwa hili...

2.
ulizia jamaa alofanya nao kazi kwenye kituo chake hapo....ameisha waliza computer...malipo fake kibao...ulizia utaambiwa. CHADEMA wakiweka mgombea makini CCM wanakazi sana.

3.
Sijui kama kadi yake ya CHADEMA ameisha irudisha...ameangalia upepo...ni opportunist sana dogo huyo anawaza kuja waziri kama class mate wake wa shule ya msingi, Kamala

4. Siwezi sema zaidi ila nikiona uongo hapa nitakuja na kasi ya mwewe!
__________________
"People who drink to drown their sorrow should be told that sorrow knows how to swim." Ann Landers
 
Nikisema Uwiano ni Mkenya, huna jukumu kuthibisha we si Mkenya. Mzigo wa kuthibisha tuhuma ni wa mtuhumu.

Nikisema Mwanakijiji si raia wa Tanzania kwa nini iwe wajibu wa Mwanakijiji kuthibitisha uraia wake? It just doesn't make sense.

Chadema wamedai kuwa baada ya kufuatilia uhamiaji na kwingineko, wamebaini kwamba wazazi wake mgombea huyo, Mzee William Mukasa na Mama Apolonia Mukasa, waliingia nchini mwaka 1971 wakitokea Bunyoro nchini Uganda na kuishi eneo la Misenyi.

Sasa jamani twende taratibu - tuhuma ikishatolewa sasa inakuwa ni "your word against mine". Ndio maana watuhumiwa wote jukumu lao la kwanza ni kukimbilia kukana kuwa tuhuma si kweli. Sasa hapa Oscar Mukasa anatakiwa akane tuhuma kama ilivyotolewa halafu pande zote ziwakilishe kwa mamlaka husika ushahidi kuonyesha misingi ya madai yao.
Oscar toa tamko - wewe ni Mganda au Matanzania.
 
Quote: Masanilo

3.
Sijui kama kadi yake ya CHADEMA ameisha irudisha...ameangalia upepo...ni opportunist sana dogo huyo anawaza kuja waziri kama class mate wake wa shule ya msingi, Kamala

4. Siwezi sema zaidi ila nikiona uongo hapa nitakuja na kasi ya mwewe!

__________________
“People who drink to drown their sorrow should be told that sorrow knows how to swim.” Ann Landers

- Haya wakuu sasa wekeni dataz hapa, maana huyu member wa JF anamjua huyu Oscar kuliko wote humu kwa maneno yake mwenyewe, anasema huyu Oscar alikuwa Chadema, sasa ina maana Chadema walimpokea mtu asiye raia bila kuwaarifu Idara ya Uhamiaji?

- Sasa leo kwa sababu anataka kugombea ubunge against wao Chadema ndio wameona ni saa ya kumripoti, sasa hawa wakipewa power ndio watatusaidia kuliko tulionao sasa?

Respect.

FMEs!
 
Jamani watu tuna tegemea huyo jamaa aje JF akanushe au? Anyone who believes he is not a citizen atoe ushahidi hata kama ni cercumstantial evidence inayo weza kutupa sababu ya kuto kuamini kama jamaa ni rais. Nime soma post nyingi lakini most of the post zinazo support kuwa siyo Mtanzania hawaja toa ushahidi bali wana jaribu kuconnect dots ambazo hata hazieleweki.
1.Mna uhakika na uraia wa wazazi wake? Mnaweza kuthibitisha beyond a shadow of a doubt kuwa wazee wake siyo Watanzania?

2.Ukisha fanya hivyo then una jukumu lingine la kuthibitisha kuwa hakuukana uraia wa wazazi wake na kua Mtanzania.

Sheria za uraia Tanzania kwa kifupi zinasema mtu ni raia kwa a)kuzaliwa na wazazi wa kitanzania b)kukana uraia wa wazazi na kuomba uraia wa Tanzania c) kuoa au kuolewa na Mtanzania. d)kuomba uraia wa Tanzania idara ya uhamiaji. hii nimetoa to roughly mpate idea.

Sasa thibitisheni haja timiza moja wapo ya hayo matatu.
“Baada ya kubaini hilo na kufuatilia uhamiaji na kwingineko, wamebaini kwamba wazazi wake mgombea huyo walingia nchini mwaka 1971 wakitokea Bunyoro nchini Uganda na kuishi eneo la Misenyi,” alidai Mrema.

Alidai kuwa mgombea huyo wa CCM, alizaliwa Uganda mwaka 1970 na si katika kijiji cha Rukalagata Biharamulo kama anavyodai.
SOMA KWANZA HABARI YENYEWE:
 
"Baada ya kubaini hilo na kufuatilia uhamiaji na kwingineko, wamebaini kwamba wazazi wake mgombea huyo walingia nchini mwaka 1971 wakitokea Bunyoro nchini Uganda na kuishi eneo la Misenyi," alidai Mrema.

Alidai kuwa mgombea huyo wa CCM, alizaliwa Uganda mwaka 1970 na si katika kijiji cha Rukalagata Biharamulo kama anavyodai.
SOMA KWANZA HABARI YENYEWE:

- Mkuu hii ni habari tu ambayo hata mimi ninaweza kuisema, kinachotakiwa ni ushahidi, hapa Chadema wanahitaji kuuweka tu wazi tuone vyeti vyake vya kuzaliwa maana huenda wanavyo, huwezi sema haya kama huna vyeti, au?

- Uliwengu either ni raia au sio chagua moja!

Je tukibishana ya Ulimwengu ya Rostam tutayaweza?
 
"Baada ya kubaini hilo na kufuatilia uhamiaji na kwingineko, wamebaini kwamba wazazi wake mgombea huyo walingia nchini mwaka 1971 wakitokea Bunyoro nchini Uganda na kuishi eneo la Misenyi," alidai Mrema.

Alidai kuwa mgombea huyo wa CCM, alizaliwa Uganda mwaka 1970 na si katika kijiji cha Rukalagata Biharamulo kama anavyodai.
SOMA KWANZA HABARI YENYEWE:

Mkuu nimesoma habari ila hoja yangu iko pale pale ushahidi wa yote hayo uko wapi? Ina tosha kukubali kuwa siyo raia kwa sababu mtu kasema story fulani? nimesoma story iliyopo mimi naulizia uthibitisho sasa wa hiyo hadithi yenyewe. Yaweza kuwa kweli au la lakini uthibitisho ume tolewa?
 
Last edited:
uthibitisho unauliza umetolewa wapi?
kama chadema imepeleka pingamizi kwa tume ya uchaguzi, ina maana uthibitisho utatolewa huko kwenye tume ya uchaguzi na hautatolewa kwenye gazeti hilo (kwanza).
sasa kinachotakiwa kufanya ni kusubiri kuona huo ushahidi wa chadema kwa tume.
 
Jamani sisi tuliozaliwa biharamulo tunamfahamu ndugu mukasa(rwega) kuwa ni mhamiaji kutoka uganda. binafsi sina details zake lakini tuliishi na mwanaye anyeitwa Patrick Ruteza pale katoke, huyu alikuwa mwalimu wa sekondari ktk jimbo la rulenge na baadaye aliingia ktk shule za serikali.

Huyu kijana ameoa msubi wa pale katoke na akiulizwa nadhani anajua wazazi wake walipotokea.

Kuna binti ya huyu mzee kama mnakumbuka alijirusha ghorofani na kujiua pale UDSM miaka ya 90 baada ya kuumbuliwa na mzee punch.........
 
Chama makini kama CCM kinaweza vipi kumteua mtu ambaye si raia? So nadhani hili haliendi mbali. CCM haiwezi kumpendekeza mtu awe Mbunge wakati si Raia

Mwanakijiji inabidi ukumbuke kuwa tatizo la uraia linakuja pale unapopishana na CCM. Umakini wa CCM unaouzungumzia sijui ni upi. Chama na viongozi wa serikali walioingia madarakani kwa tiketi ya chama na kupewa na chama nguvu ya kuwateua maofisa, wamewateua wasio rais mara nyingi. Jenerali Ulimwengu ambaye chama/Serikali vilithibitisha kuwa si mtanzania, kuna wengine wanasemwa kama kina Abdulrahman Kinana, walikuwepo kina Gilman Rutihinda, na wengine wengi tu. Lakini kama ukicheza kwa kitabu cha CCM hata kama si rai wewe ni raia, lakini ukienda kinyume tu hata wewe Mwanakijiji ukirudi hapa Tanzania unaweza kushangaa unaambiwa wewe si mtanzania.
 
Back
Top Bottom