Biharamulo: Kampeni, kura na matokeo!

Biharamulo: Kampeni, kura na matokeo!

Kwenye siasa, chama au mgombea hujitahidi kuonyesha tabia njema zaidi wakati wa uchaguzi. Kwa hiyo kama tukichora grafu ya tabia njema za wanasiasa au vyama vya siasa basi kilele cha grafu hiyo kitakuwa siku ambazo kulikuwa na uchaguzi.
Aina ya mijadala inayochukua kipaumbele katika chaguzi zetu inanifanya nijiulize, je, ni kweli wanasiasa wetu wanatambua mahitaji ya jamii?
Chaguzi zimejaa malumbano ya kuzomeana, kurushiana mawe, kuchimbachimba mgombea gani hajakamilisha nakala gani ili awekewe pingamizi, kulumbana juu ya nani amuachie nani kugombea n.k
Nilitegemea kipindi hiki kiwe fursa kwa wananchi wote wa Tanzania kuielewa kwa ukaribu jiografia ya Biharamulo, matatizo yanayowakabili watu wake na jinsi kila chama/mgombea kilivyojidhatiti kuyatatua matatizo hayo. Badala yake, kwa mara nyingine tena, wananchi wanaanza kusikia malumbano kama ya Mbeya,Tarime,Busanda n.k
Je, katika siasa za Tanzania kuvutanavutana bila kuzungumzia sera ndio inaonekana tabia njema zaidi? Na kama hivyo ndivyo ilivyo, je, tunategemea maendeleo yaje kama mikate inayoanguka toka mbinguni?
Ni vyema mijadala mingi ikazunguka kwenye sera na mikakati endelevu.
 
Mkuu FMES hivi kwa tanzania ilikuwaje akina Ulimwengu kuwa Raia baadaye wakavuliwa uraia kwamba si Watanzania ? Kwani Ulimwengu si alikwa Balozi nini bwana Afya wa mkoa .Tanzania lolote chini ya CCM linawezekana kabisa .CCM wakitaka inakuwa kweli na sasa ndiyo kila mtanzania ataona .CV si neno lakini je haya maneno ama CV ya wanao onekana kumjua unaisemaje
 
Hii mbinu ya technicalities za kisheria CCM wameitumia sana to their advantage. Everybody knows. CHADEMA WAMEIGA CCM. Sioni iko haja ya wana CCM kuanza kulalamika. Kuna hoja ya mgombea wao si raia wa Tanzania.

Badala ya CCM kuwaka kama moto wa kifuu, inatakiwa wajue kuwa mwosha huoshwa. Huu uchafu wote wanaoutumia, kuna siku utawageuka.

Haya mambo ya uraia, kuna watu wamenyanyaswa sana baada ya maoni yao kutofautiana na maoni ya viongozi wa CCM. Na hapa tujue si kwenye uchaguzi au si kesi za kina Ulimwengu tuu. Kuna watu wengi sana wamenyanyaswa na jambo hili la uraia, kisa? Wametofautiana na wakubwa zao ambao wengi hutokea kuwa wakubwa ndani ya chama vile vile.

Ukitofautiana na bosi wako, anaangalia wewe unatokea wapi. Ukiwa unatokea maeneo ya mipakani, utazushiwa matatizo ya uraia. Ukweli na uwongo hufinyangwa kuwa kitu kimoja na kama ni kufukuzwa kazi au kuzuia kupanda cheo itafanyika, ili mradi wameshaona wewe si mwenzao.

Kuna watanzania wengi wa aina ya mukasa. Mbinu ya uraia CCM waliitumia kwenye uchaguzi Kigoma dhidi ya Kaburu wakati anagombea Chadema. Baadaye Chadema wakaitumia dhidi ya Premji.

Unagundua tu kuwa haya huwa yanatumiwa wakati wanapokuwa na mtu ambaye maoni yake yametofautiana nao na wamekosa sababu nyingine yoyote kumzuia.

Sasa CCM wakubali kuwa hii mbinu inaweza kutumiwa na mtu mwingine yeyote. Vinginevyo waweke hati miliki kuwa mbinu ya kutumia technicalities ni ya CCM peke yao!
 
- ..... ina maana Chadema walimpokea mtu asiye raia bila kuwaarifu Idara ya Uhamiaji?

Sasa Mkurugenzi Mkuu wa Uhamiaji anaripoti kwa nani? Hivi chadema wakianza kuuliza uraia wa watu unafikiri implication yake ni nini? Uchaga si ndo utashika kasi?

FMES bwana, saa nyingine unaniacha hoi bin taabani
 
Last edited:
Kwenye siasa, chama au mgombea hujitahidi kuonyesha tabia njema zaidi wakati wa uchaguzi. Kwa hiyo kama tukichora grafu ya tabia njema za wanasiasa au vyama vya siasa basi kilele cha grafu hiyo kitakuwa siku ambazo kulikuwa na uchaguzi.
Aina ya mijadala inayochukua kipaumbele katika chaguzi zetu inanifanya nijiulize, je, ni kweli wanasiasa wetu wanatambua mahitaji ya jamii?
Chaguzi zimejaa malumbano ya kuzomeana, kurushiana mawe, kuchimbachimba mgombea gani hajakamilisha nakala gani ili awekewe pingamizi, kulumbana juu ya nani amuachie nani kugombea n.k
Nilitegemea kipindi hiki kiwe fursa kwa wananchi wote wa Tanzania kuielewa kwa ukaribu jiografia ya Biharamulo, matatizo yanayowakabili watu wake na jinsi kila chama/mgombea kilivyojidhatiti kuyatatua matatizo hayo. Badala yake, kwa mara nyingine tena, wananchi wanaanza kusikia malumbano kama ya Mbeya,Tarime,Busanda n.k
Je, katika siasa za Tanzania kuvutanavutana bila kuzungumzia sera ndio inaonekana tabia njema zaidi? Na kama hivyo ndivyo ilivyo, je, tunategemea maendeleo yaje kama mikate inayoanguka toka mbinguni?
Ni vyema mijadala mingi ikazunguka kwenye sera na mikakati endelevu.

Hata kama kiongozi wao atakuwa jambazi wao waachie tu ili mradi eti anayajua majhitaji na matatizo ya eneo ? Vipi usalama wa eneo na Nchi yangu Tanzania ?Kwenye chaguzi za wenzetu haya huyasikii kwa kuwa hayako hakuna mtu katoka Mexico akataka kuwa Rais wa USA so huwezi kusikia issues na sisi tuna make progress we need to clean it all .
 
kubadili jina ghafla tena wakati akigombea nafasi ya kuwakilisha wananchi bungeni ni ishara tosha kuwa dhamiri inamsuta kwamba si mtanzania na alijua fika kuwa sasa hivi watanzania wameamka ni lazima watahoji juu ya hilo jina maana ni kweli MUKASA ni waganda. Namkumbuka mwimbaji mmoja wa nyimbo za injili mganda alikuwa anaitwa FIONA MUKASA sijui kama bado yupo.
ila kwa vile ni mgombea wa CCM na CCM ndio serikali, pengine hata tunapoandika sasa si ajabu wameshafoji document na kuthibitisha uraia wake
 
Sasa Mkurugenzi Mkuu wa Uhamiaji anaripoti kwa nani? Hivi chadema wakianza kuuliza uraia wa watu unafikiri implication yake ni nini? Uchaga si ndo utashika kasi?

FMES bwana, saa nyingine unaniacha hoi bin taabani

- Mkuu kama ikithibitika kwamba Oscar sio raia na aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema huko nyuma kama Masanilo alivyosema, unasema politically Chadema hawatakuwa na kesi ya kujibu pia kama CCM?

FMEs!
 
CCM cyo chama makini hata kidogo. kingekuwa makini kama mafisadidi wote wangefukuzwa uanachama na wawepo segerea au keko.
kwa nini mafisadi wafukuzwee ccm??

hutambui uhai wa CCM ni ufisadiii??? haiwezekani kutenganisha ufisadi na ccm kwani ni kama kuku na yai lake kwa ajili ya uendelevu wa kizazii...
 
- Mkuu kama ikithibitika kwamba Oscar sio raia na aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema huko nyuma kama Masanilo alivyosema, unasema politically Chadema hawatakuwa na kesi ya kujibu pia kama CCM?

FMEs!

Jibu Hoja acha kujaza bandwidth.....kama huna issue kaa kimya ....si unaona William amepoa tu!!
 
Jibu haya;
  • Utaratibu wa CCM kutoa kadi za uanachama ziko vipi?
  • CCM haijawahi kutoa kadi kwenye mikutano ya hadhara?
  • Hebu niambie wakati unachukua kadi ulipeleka cheti cha kuzaliwa au passport yako au udhibitisho wa uraia wa wazazi wako?
 
Mkuu FMES hivi kwa tanzania ilikuwaje akina Ulimwengu kuwa Raia baadaye wakavuliwa uraia kwamba si Watanzania ? Kwani Ulimwengu si alikwa Balozi nini bwana Afya wa mkoa .Tanzania lolote chini ya CCM linawezekana kabisa .CCM wakitaka inakuwa kweli na sasa ndiyo kila mtanzania ataona .CV si neno lakini je haya maneno ama CV ya wanao onekana kumjua unaisemaje

- Kinchohitajika ni uthibitisho wa makaratasi mkuu, hata mimi ninaweza ku-speculate wewe sio raia Chadema wange-invest kwenye real ishus muhimu kwa masilahi ya taifa huko Biharamulo, badala ya kupoteza muda na none ishu kama hii, CCM hawawezi kubishana usiku kucha na kuishia kumpitisha a foreigner hilo ninakataa kwamba hawawezi,

- Chadema mnahitaji kuwa makini sana na hii ishu maana inaweza kuishia kuwatenganisha na wananchi wa Biharamulo, mnaweza kuwa mnachezeshwa mchezo mchafu wa uchaguzi wa CCM, tafuteni hoja nyingine hii itawaumiza jamani!

FMEs!
 
Chadema wange-invest kwenye real ishus muhimu kwa masilahi ya taifa huko Biharamulo

Porojo hii....Mbeya vijijini kilitokea nini kwenye uchaguzi zidi ya mgombea wa CHADEMA? Muosha huoshwa ndugu!
 
Jibu Hoja acha kujaza bandwidth.....kama huna issue kaa kimya ....si unaona William amepoa tu!!

- Kiboko yako ni Mtanzania maaana akikutwanga huwa unakimbia kama masiku kabla ya kurudi, Bwa! ha! ha! ha! umesema jamaa unamjua sasa weka habari zake filimbi tu pembeni simama sasa uhesabiwe!

- Mbona hata Beston Mwakalinga amepoa tu baada ya kuwekeza kwa Mwakyembe kwenye umeme hewa, allau wakibaru Bwa! ha! ha! ha!

FMEs!

FMEs!
 
Mtanzania katoka wapi? Ama ndo kule kuishiwa fikra?

Kiboko yako ni Mtanzania maaana akikutwanga huwa unakimbia kama masiku kabla ya kurudi
 
Jibu haya;
  • Utaratibu wa CCM kutoa kadi za uanachama ziko vipi?
  • CCM haijawahi kutoa kadi kwenye mikutano ya hadhara?
  • Hebu niambie wakati unachukua kadi ulipeleka cheti cha kuzaliwa au passport yako au udhibitisho wa uraia wa wazazi wako?

- CCM wasingenipa uanachama kama nisingekua raia not then, sijui siku hizi ila so far haya hayathibitishi kwamba Oscar sio raia, tunahitaji kusubiri majibu ya Oscar na CCM.

Nawahi mzigo sasa yaani mabox, later!

FMEs!
 
- Kinchohitajika ni uthibitisho wa makaratasi mkuu, hata mimi ninaweza ku-speculate wewe sio raia Chadema wange-invest kwenye real ishus muhimu kwa masilahi ya taifa huko Biharamulo, badala ya kupoteza muda na none ishu kama hii, CCM hawawezi kubishana usiku kucha na kuishia kumpitisha a foreigner hilo ninakataa kwamba hawawezi,

- Chadema mnahitaji kuwa makini sana na hii ishu maana inaweza kuishia kuwatenganisha na wananchi wa Biharamulo, mnaweza kuwa mnachezeshwa mchezo mchafu wa uchaguzi wa CCM, tafuteni hoja nyingine hii itawaumiza jamani!

FMEs!

Unanidhibitishia kuwa CCM ni chuo cha mafisadi otherwise dhibitisha kuwa chadema wamechemka. Ulianza vibaya, ukarudi kwa mstari sasa mkuu naona unaichanganya kabisa.
 
- Yale yale tu hakuna jipya, tusubiri CCM na Oscar wajibu. later!

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom