William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Mzee umeanza P.....hivi Arcado Ntagazwa aliwahi kuwa na kesi na uraia wake kama nakumbuka vizuri, alikuwa Mbunge na waziri wa mazingira..lakini uraia wake ulileta utata sijui kesi ilishia wapi.....
Sisi tunafuata mfumo wa sheria wa comon law, the burden of proof lies with the prosecution.Kwenye hili mimi naungana na mzee Dilunga. Nikisema Mwanakijiji si raia wa Tanzania kwa nini iwe wajibu wa Mwanakijiji kuthibitisha uraia wake? It just doesn't make sense.
Quote: Masanilo
1. Nilisema toka jana sina sababu ya kuweka personal za Oscar hapa hutaki kuelewa sio!
2. Ninamfahamu huyu jamaa kuliko wewe najua mchakato mzima hadi kupita, alipigwa zengwe sana hadi JK alipoamua kufanya naye mazungumzo na kushawishi kikao.
3. Siwezi andika uzaifu wake hapa narudia, kama binadamu anamapungufu kama niliyo nayo mimi....! Nimeongea naye pia na ninamtakia kila laheri kwenye uchaguzi huo ambao najua atashinda nitakuwa na baada ya uchaguzi nitakuwa na mazungumzo naye ili asije potelea kwenye dibwi la mafisadi na wazee walio CCM waliochoka kimawazo.
4. Acha kuongea naye amekuwa akipata support yangu tokea mwanzo kuna vitu tuna tofautiana lakini mtizamo tu, si lazima niwe sahihi
Kayanga twende
Mas __________________
"People who drink to drown their sorrow should be told that sorrow knows how to swim." Ann Landers
Nikisema Uwiano ni Mkenya, huna jukumu kuthibisha we si Mkenya. Mzigo wa kuthibisha tuhuma ni wa mtuhumu.
Nikisema Mwanakijiji si raia wa Tanzania kwa nini iwe wajibu wa Mwanakijiji kuthibitisha uraia wake? It just doesn't make sense.
Quote: Masanilo
3. Sijui kama kadi yake ya CHADEMA ameisha irudisha...ameangalia upepo...ni opportunist sana dogo huyo anawaza kuja waziri kama class mate wake wa shule ya msingi, Kamala
4. Siwezi sema zaidi ila nikiona uongo hapa nitakuja na kasi ya mwewe!
__________________
People who drink to drown their sorrow should be told that sorrow knows how to swim. Ann Landers
Kwani umesahau ya Jenerali Ulimwengu na nyazifa zake?- Sasa baba yake alifikiaje kufanya kazi kwenye serikali yetu mpaka kuwa ofisa wa juu huko wilayani na mkoani bila kua raia wetu? It does not add up!
Respect.
FMEs!
Kwani umesahau ya Jenerali Ulimwengu na nyazifa zake?
Ni raia wa kujiandisha(kuomba) na si raia wa kuzaliwa.- Mkuu naomba kuuliza Ulimwengu ni raia wa Tanzania or not?
Respect.
FMEs!
Baada ya kubaini hilo na kufuatilia uhamiaji na kwingineko, wamebaini kwamba wazazi wake mgombea huyo walingia nchini mwaka 1971 wakitokea Bunyoro nchini Uganda na kuishi eneo la Misenyi, alidai Mrema.Jamani watu tuna tegemea huyo jamaa aje JF akanushe au? Anyone who believes he is not a citizen atoe ushahidi hata kama ni cercumstantial evidence inayo weza kutupa sababu ya kuto kuamini kama jamaa ni rais. Nime soma post nyingi lakini most of the post zinazo support kuwa siyo Mtanzania hawaja toa ushahidi bali wana jaribu kuconnect dots ambazo hata hazieleweki.
1.Mna uhakika na uraia wa wazazi wake? Mnaweza kuthibitisha beyond a shadow of a doubt kuwa wazee wake siyo Watanzania?
2.Ukisha fanya hivyo then una jukumu lingine la kuthibitisha kuwa hakuukana uraia wa wazazi wake na kua Mtanzania.
Sheria za uraia Tanzania kwa kifupi zinasema mtu ni raia kwa a)kuzaliwa na wazazi wa kitanzania b)kukana uraia wa wazazi na kuomba uraia wa Tanzania c) kuoa au kuolewa na Mtanzania. d)kuomba uraia wa Tanzania idara ya uhamiaji. hii nimetoa to roughly mpate idea.
Sasa thibitisheni haja timiza moja wapo ya hayo matatu.
"Baada ya kubaini hilo na kufuatilia uhamiaji na kwingineko, wamebaini kwamba wazazi wake mgombea huyo walingia nchini mwaka 1971 wakitokea Bunyoro nchini Uganda na kuishi eneo la Misenyi," alidai Mrema.
Alidai kuwa mgombea huyo wa CCM, alizaliwa Uganda mwaka 1970 na si katika kijiji cha Rukalagata Biharamulo kama anavyodai.
SOMA KWANZA HABARI YENYEWE:
Je tukibishana ya Ulimwengu ya Rostam tutayaweza?- Mkuu hii ni habari tu ambayo hata mimi ninaweza kuisema, kinachotakiwa ni ushahidi, hapa Chadema wanahitaji kuuweka tu wazi tuone vyeti vyake vya kuzaliwa maana huenda wanavyo, huwezi sema haya kama huna vyeti, au?
- Uliwengu either ni raia au sio chagua moja!
FMEs!
"Baada ya kubaini hilo na kufuatilia uhamiaji na kwingineko, wamebaini kwamba wazazi wake mgombea huyo walingia nchini mwaka 1971 wakitokea Bunyoro nchini Uganda na kuishi eneo la Misenyi," alidai Mrema.
Alidai kuwa mgombea huyo wa CCM, alizaliwa Uganda mwaka 1970 na si katika kijiji cha Rukalagata Biharamulo kama anavyodai.
SOMA KWANZA HABARI YENYEWE:
Hilo pia halina hakika.ya Rostam hayana ubishi,yeye ni mbulushi mzaliwa wa tanzania
Chama makini kama CCM kinaweza vipi kumteua mtu ambaye si raia? So nadhani hili haliendi mbali. CCM haiwezi kumpendekeza mtu awe Mbunge wakati si Raia