maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
Patcho Mwamba, jamaa alipata aleji ya kuvimba mwili baada ya kunywa bia fulani jina kapuni, na baada ya kuanza kuwashwa sana alipiga picha na kuweka kwenye ukurasa wake wa instagram.
Baadae kuna mtu anajiita "bikira wa kisukuma" akaichukua na kuiweka ujumbe wa kuwa Patcho kafumaniwa. Na watu wamekuwa wakiusambaza upuuzi huo.
Tukianza kuzunguka mahospitalini tutapiga ndugu zenu picha na kuwazushia hakuna atakayekuwa salama.
This must stop