Bikira wa Kisukuma azusha Patcho Mwamba kafumaniwa

Bikira wa Kisukuma azusha Patcho Mwamba kafumaniwa

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Patcho Mwamba, jamaa alipata aleji ya kuvimba mwili baada ya kunywa bia fulani jina kapuni, na baada ya kuanza kuwashwa sana alipiga picha na kuweka kwenye ukurasa wake wa instagram.

Baadae kuna mtu anajiita "bikira wa kisukuma" akaichukua na kuiweka ujumbe wa kuwa Patcho kafumaniwa. Na watu wamekuwa wakiusambaza upuuzi huo.

Tukianza kuzunguka mahospitalini tutapiga ndugu zenu picha na kuwazushia hakuna atakayekuwa salama.

This must stop

pacho.jpg
 
Pole patcho kwa masahibu yaliokukuta
Lkn ingekuwa vyema ukasema ni aina gani ya bia ulioitumia
 
Giovan aka bikra wa kisukuma anatafta umaarufu kwa nguvu ni mpuuzi sana huyu chalii! Anapenda sana kuruka vitu asivyovijua
 
Mi nilishangaa sana ata zee la ku copy le mutuz nalo liliandika kafumaniwa wakat mi najua amevimba kutokana na sumu
 
bikira wa kisukuma ni meneja uhusiano wa diamond,ndo yule alichat na profesa wa chuo kikuu kuulizia doctorate ya Diamond,na pia ni maarufu kwa kudhulumiwa na le mutuz
 
Mi nilishangaa sana ata zee la ku copy le mutuz nalo liliandika kafumaniwa wakat mi najua amevimba kutokana na sumu


Jamani mwaka unakwisha muoneeni huruma mwandishi fake a.k.a. Le Mutuz, mwenzenu anatafuta kick hapa mjini, si mnajuwa mjini shule!
 
Ile ni allergy,ukimtazama kifuani utagundua!!Watz wanapenda kweli misfortunes za wenzao nimeona GTs walivofurahia!!Huyo bikira huyo anahitaji kubikiriwa!!Naye patcho,baba zima umepatwa masaibu unaacha kuwahi hospitali wakupe neutralizers unakimbilia kujipiga pic na kutundika mtandaoni!!Haa,sasa madhara yake ni kuzushiwa!!
 
Mimi nilijua ni manzi huyu bikira. .. kumbe ni dume ..haha haha kuna walakin hapo. ..
 
Back
Top Bottom