BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Best marketing skills can influence a customer to buy a [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
I know that but we can't conclude by that factor its very minor factor you don't compare betting and other stuff
 
Nchi inahitaji nabii kuikomboa hii !! Baba JPM nakuomba geukia unahubiri kila siku watu wafanye kazi lakini nchi imebadilika kuwa ya wacheza kamari

1. Wanafunzi wanatafuna ada kwa betting

2. Vijana vikaratasi vya betting vilivyo tikiwa na baadaye kuchanwa vimezagaa kwenye mageto yao

3. Watumishi wa umma unawalipa fedha nyingi Baba lakini siku moja tuu zinachezwa kamari na kuisha

4. Mpaka wazee, wanawake na watoto wote wamejiingiza humo ijapokuwa wanadanganya ni over+18 lakini vitoto vya shule ya msingi vinagonga mikeka kama dawa

4. Kuna football betting

6. Kuna TATU KICHAA

7. Kuna BEKO

8. Kuna mashine za kichina zimejaa kila kona

9. Kuna FOREX

Haya yote ni majini KAMARI ambayo yanatafuna hela za wananchi wako, ijapokuwa unapata kodi kutoka kwao lakini kiasi kikubwa wananchi wako wanazikabidhi kwa hiari yao wenyewe kwenye makampuni haya ambayo mengi ni ya ncje ya nchi na fedha watazipeleka kwao uchumi wetu utakuwaje? Huu ni ugonjwa mkubwa sana umeingia.
 
Hizo kazi ziko wapi ? Viwanda vipo wapi watu wakafanye kazi. Au bandarini kuna mizigo tukabebe ?
 
AS LONG AS SERIKALI INAPATA BILIONI 30 KWA MWAKA KAMA KODI, KAMWE HAITAKUJA FUTWA NA KWA MWAKA KESHO KODI ITAKUWA IMEONGEZEKA SANA
 
biko mchezo wa kipuuzi huo, bora betting unapata matokeo ya ulicho tabiri

biko mara 2 wameshia nambia bado nafasi 1 uwe mshindi wa m1 sijawahi pata hata mia.

mchezo hauna wadau, sema unatangazwa sana
 
kubeti ni biashara ya dunia haitokuja kuzidiwa na kamari yeyote.
BIKO ni upepo tu na jamaa kawekeza nguvu nyingi sana katika promotion
 
Middle class believes hard work creates wealth… World class believes leverage creates wealth
 
biko mchezo wa kipuuzi huo, bora betting unapata matokeo ya ulicho tabiri

biko mara 2 wameshia nambia bado nafasi 1 uwe mshindi wa m1 sijawahi pata hata mia.

mchezo hauna wadau, sema unatangazwa sana
Umewaza kama mimi, kula gwala mwana!
 
Unawapigia promo tu hapa hawana lolote...bora hata football betting
 
Ila acheni upuuzi wa kutuma SMS kwangu hovyo hovyo,Nani amewaruhusu????.

Yaani Leo tu SMS 6 Sjui mkoje???
 
Nawavua kama samaki toka kwenye ocean ngoma promotion.
 
Habari za Asubuhi wapendwa. mimi naitwa Snitch2020
Bila kupoteza muda napenda kusema kuwa i am so dissapointed kwa niliyoyaona jana katika bahati nasibu ya Biko. Kama kawaida alipigiwa mtu simu na yule mtu alivyopokea akaulizwa kama ameshawahi kushiriki mchezo wa biko na alikataa akasema hapana,akaulizwa tena mara ya pili akagoma na mara ya tatu akakataa sasa wale watangazaji kuua soo wakamwambia basi wewe ndo mshindi wetu wa milion 50, jamaa ndo akaanza kushangilia. sasa najiuliza inakuwaje mtu ambae hajashiriki anashinda pesa? Au ni kipi kilichompelekea jamaa akashinda bila kushiriki? Tulikuwa vijana kibao tunaangalia Biko na wote tulikasirika sana na tulishangazwa na kitendo hichi. Naomba tu ujumbe huu uwafikie biko na watolee maelezo jambo hili kwasababu tumeliona Live na ushahidi upo. Tunaomba maelezo la sivyo hatutacheza tena Bahati nasibu yenu. Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda Snitch2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…