BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Ni kweli huyu jamaa alijibu kuwa hajawi cheza,ila ukifuatilia kwa makinj utaelewa utagundua kitu,Wengi wanacheza Biko kimya kimya ila kwenye vijiwe wanapenda kuiponda ,sasa huyu atakuwa yupo kwenye hilo kundi ,alivyopigiwa alijuaa kama kuna mtu anamtest kumpima aone kama anacheza au lah.Ila jamaa alivyojuaa kuwa si utani alifurahi sanaaa,
 
Hata mimi niliona hii kitu, nikalazimika kubadili Channel hapo hapo, ...........There is Someting fishy going on!!
 
mh...marudio mda gan na mm nikachungulie usaliti huu wa waziwazi?
 
What if mkewe alicheza kwa kutumia namber yake..!
 
Mzee hukujua kuwa washindi hupangwa? Mtu akupe hela bure bure bila kazi tena boxi 50 na usawa huu?
 
Ndo hapo sasa...alafu anakuja kuanzisha uzi kabisa!! Eti walichukia kumbafu sana..
Kwakweli nimejifunza kuwa hakuna cha bure na hakuna mtu anaeweza kukupa M50 kwa bahati nasibu bora pesa yangu ningeenda kubet
 
Biko ni wahuni kinachonishangaza kila siku wanashinda wa DSM tu utasikia Mara mbagala,vingunguti,kumara,gongolamboto n.k!
Yaani kila siku ni DSM tu ina maana mikoani hawachezi?
Nyambafuuuuu-in mange kimambi's voice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…