Lazarius Son
Member
- Mar 14, 2017
- 17
- 6
what if ameandikiwa na matapeliKwanini aombwe kuwasiliana nao. Kwa taarifa yako mchezo hauchezwi saa sita usiku, unachezwa five hrs before saa sita, hivyo mshindi anaandaliwa kwa kupewa maelezo. wamejichanganya
wewe sisi tunaishi kwa betting halafu unaikashifu...yaani hatuki kuajiliwa sasa... kwanza tulichelewa sana...tungekuwa mbali sana kimaisha ...karibu kwenye betting hutajutiaNchi nzima imegeuka ya wacheza kamari... wachumi hawajashtuka ni jinsi gani kamari inabomoa kabisa uchumi wa nchi kwa kutengeneza lundo la maskini adicted katika kamari.. kampuni mbalimbali za kamari zinaendelea kuja shamba la bibi kuzoa fedha wa wapenda short cut katika maisha. Ilianza sport betting sasa kila mtaa kuna mashine za kudumbukiza fedha ambazo zamani zilikuwa haziruhusiwi kuwekwa mitaani zaidi ya kwenya makasino,,,, kuna tv kila mtaa michezo ya kukimbiza mbwa hii yote ni hatari kwa nchi.
Ni bora kubet,ukikosa unajua umekosa timu gani,Never trust bikoUnachezaje huo mchezo