Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Si lazima kujibu kama hujisikiiUnavua nguo tu halaf hiyo kitu yako inameza kitu yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si lazima kujibu kama hujisikiiUnavua nguo tu halaf hiyo kitu yako inameza kitu yangu
Si lazima kujibu kama hujisikii
[emoji106]Sawa sitokujibu tena
Wacha kuleta utapeli wa waganga wa kienyeji wanaoahidi kuwafanya watu matajiri wakati wao hata sabuni ya kufulia ya kipande anapiga mahesabu kuinunua. BTW mimi siwezi kucheza mchezo wa bahati nasibu wowote Tanzania kwani wachezeshaji sio waaminifu hata kidogo.Hii sms walitumiwa washiriki wote wa Biko Tanzania, hii ilikuwa ni kuhamasisha na si kukujulisha kwamba u mshindi, iko wazi kabisa.
This is business language.
Kuhusu mambo mengine likiwemo suala la uwazi sina neno.
Droo ya Biko huchezeshwa asubuhi ya Jumapili na Jumatano na si Jumamosi kama huyo aliyeanza kuweweseka na hisia za utajiri.
Anayetaka nimpe mbinu ya kupiga vielfu 5,10,20 n.k biko anifuate inbox , free
Ukitoa buku unatoa tena na tena baadae ukiishiwa hizo buku unakuja huku kulalamika kama huyo jamaa hapo juu.Huo mchezo siuelewi hata...wanashindania nini sasa ukitoa hiyo buku...drooo inahusu nini hasa
Mkuu sijawahi kushiriki kabisa huu mchezo...naona tu toa buku ushinde M 10 au 20 sasa sijui ni mchezo wa namba au nini?Ukitoa buku unatoa tena na tena baadae ukiishiwa hizo buku unakuja huku kulalamika kama huyo jamaa hapo juu.
Ivi kuna mtu anaweza kujitolea kiwagawia watu pesa bila sababu, ikumbukwe hii ni biashara kama biashara nyingine haitaki hasara.
Mbaya zaidi wanajifunika mwamvuli wa viongozi wetu , utakuta eti mkuu wa wilaya au mkoa ndio MC wa kutangaza mshimdiMkuu sijawahi kushiriki kabisa huu mchezo...naona tu toa buku ushinde M 10 au 20 sasa sijui ni mchezo wa namba au nini?