BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

MKUU KAMA NI KWELI NI VEMA UKIWASILIANA NA WANAOHUSIKA NA KUSIMAMIA HIZI MAMBO
 
Hii sms walitumiwa washiriki wote wa Biko Tanzania, hii ilikuwa ni kuhamasisha na si kukujulisha kwamba u mshindi, iko wazi kabisa.
This is business language.
Kuhusu mambo mengine likiwemo suala la uwazi sina neno.
Droo ya Biko huchezeshwa asubuhi ya Jumapili na Jumatano na si Jumamosi kama huyo aliyeanza kuweweseka na hisia za utajiri.
Anayetaka nimpe mbinu ya kupiga vielfu 5,10,20 n.k biko anifuate inbox , free
Wacha kuleta utapeli wa waganga wa kienyeji wanaoahidi kuwafanya watu matajiri wakati wao hata sabuni ya kufulia ya kipande anapiga mahesabu kuinunua. BTW mimi siwezi kucheza mchezo wa bahati nasibu wowote Tanzania kwani wachezeshaji sio waaminifu hata kidogo.
 
Mara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra saana kupokea.

wapo wengi tu wanaolalamikia juu ya hayo hapo juu..
Tunaomba Serikali muwatazame hawa jamaa isijekuwa ni matapeli...
 
Bahati nasibu nzuri n ile ambayo haiusishi mifumo ya komputa.... maana mfumo wa komputer unaendeshwa na watu wenye interest fotauti
 
Hakuna pesa ya Shortcut vijana fanyeni kazi
 
Huo mchezo siuelewi hata...wanashindania nini sasa ukitoa hiyo buku...drooo inahusu nini hasa
 
Huo mchezo siuelewi hata...wanashindania nini sasa ukitoa hiyo buku...drooo inahusu nini hasa
Ukitoa buku unatoa tena na tena baadae ukiishiwa hizo buku unakuja huku kulalamika kama huyo jamaa hapo juu.

Ivi kuna mtu anaweza kujitolea kiwagawia watu pesa bila sababu, ikumbukwe hii ni biashara kama biashara nyingine haitaki hasara.
 
Mkuu sijawahi kushiriki kabisa huu mchezo...naona tu toa buku ushinde M 10 au 20 sasa sijui ni mchezo wa namba au nini?
 
Mkuu sijawahi kushiriki kabisa huu mchezo...naona tu toa buku ushinde M 10 au 20 sasa sijui ni mchezo wa namba au nini?
Mbaya zaidi wanajifunika mwamvuli wa viongozi wetu , utakuta eti mkuu wa wilaya au mkoa ndio MC wa kutangaza mshimdi
ili tuwaamini zaidi, BEtting is best Gambling you know how you win or not.
 
Back
Top Bottom