BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Nchi hii (TANZANIA) kwanini lakini na itakuja kuondoka kama upepo na kizazi kinaharika. Mh Raisi anasema piga kazi vijana wanapiga kamari au sio, alafu kesho nani ameturoga... Ila inauumiza hata huwa nashindwa kujua...
 
Kwanini aombwe kuwasiliana nao. Kwa taarifa yako mchezo hauchezwi saa sita usiku, unachezwa five hrs before saa sita, hivyo mshindi anaandaliwa kwa kupewa maelezo. wamejichanganya
what if ameandikiwa na matapeli
 
Nimejaribu juzi wakanipa elfu tano, dah kimbembe jana nimeweka buku wakakata elfu mbili na leo nimejiunga buku wamekata elfu mbili yaani machoko tu, nawapigia wako busy tu
 
Hakuna pahali ameambiwa yeye ndiye mshindi kwa kweli sioni tatizo la message Bali tatizo ni muhusika aliyetumiwa ujumbe na ndoto zake za ushindi ndio Shida inaanzia hapo
 
Sisi wachezaji wenyewe tuna imani na namna unavyochezeshwa.tena Leo hela ameibeba mwanamke huko Moro.haya ni mambo ya bahati tu.
 
Sisi wachezaji wenyewe tuna imani na namna unavyochezeshwa.tena Leo hela ameibeba mwanamke huko Moro.haya ni mambo ya bahati tu.
 
Kwanza mi naomba kujua, yule anayejiita mwakilisha kutoka baraza na bahati nasibu huwa yuko pale kwa sababu gani?
Ni mtaalamu ya IT?
Je huwa anauwezo wa kujua software zilizotumika kwenye hiyo programme ya kumtangaza mshindi kuwa mtu hajawekwa?

Je alihusishwa wakati wa kutengeneza software?
huwa ana elimu gani?
 
Nchi nzima imegeuka ya wacheza kamari... wachumi hawajashtuka ni jinsi gani kamari inabomoa kabisa uchumi wa nchi kwa kutengeneza lundo la maskini adicted katika kamari.. kampuni mbalimbali za kamari zinaendelea kuja shamba la bibi kuzoa fedha wa wapenda short cut katika maisha. Ilianza sport betting sasa kila mtaa kuna mashine za kudumbukiza fedha ambazo zamani zilikuwa haziruhusiwi kuwekwa mitaani zaidi ya kwenya makasino,,,, kuna tv kila mtaa michezo ya kukimbiza mbwa hii yote ni hatari kwa nchi.
wewe sisi tunaishi kwa betting halafu unaikashifu...yaani hatuki kuajiliwa sasa... kwanza tulichelewa sana...tungekuwa mbali sana kimaisha ...karibu kwenye betting hutajutia
 
Hii sms walitumiwa washiriki wote wa Biko Tanzania, hii ilikuwa ni kuhamasisha na si kukujulisha kwamba u mshindi, iko wazi kabisa.
This is business language.
Kuhusu mambo mengine likiwemo suala la uwazi sina neno.
Droo ya Biko huchezeshwa asubuhi ya Jumapili na Jumatano na si Jumamosi kama huyo aliyeanza kuweweseka na hisia za utajiri.
Anayetaka nimpe mbinu ya kupiga vielfu 5,10,20 n.k biko anifuate inbox , free
 
hahahah wewe hata kiswahili kinakupiga chenga..
 
Mkuu kwani hujui kama hii ni kamali alafu mtu kwa upumbavu wako unajiingiza
 
Back
Top Bottom