Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,377
Mkuu njoo inbobo tue tunashare mikeka, Naitaj wabetishaji wenzang tue tunapeana ujuziMbaya zaidi wanajifunika mwamvuli wa viongozi wetu , utakuta eti mkuu wa wilaya au mkoa ndio MC wa kutangaza mshimdi
ili tuwaamini zaidi, BEtting is best Gambling you know how you win or not.
Mkuu njoo chemba uku tue tunapeana ujuzi wa kumpiga mhindi, Betting ndo chakula yang ndo kaz yangKaribu tuchore mkeka mkuu
Karibia chembani kwang uku ili tujue mhind tunampigaje aisee, mi ndo kaz yang rasmi hiiAchana na matapeli hao mkuu njoo Tubet
Serikali INA mambo mengi ya kufanya siyo huo ujinga wmeshase mchezo wa kubahatishaMara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra saana kupokea.
wapo wengi tu wanaolalamikia juu ya hayo hapo juu..
Tunaomba Serikali muwatazame hawa jamaa isijekuwa ni matapeli...
Michezo ya kubahatisha haijawahi kumuacha mtu salamaMara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra saana kupokea.
wapo wengi tu wanaolalamikia juu ya hayo hapo juu..
Tunaomba Serikali muwatazame hawa jamaa isijekuwa ni matapeli...
Yaani bora hata wale wa mikeka..hiyo biko siielewiMbaya zaidi wanajifunika mwamvuli wa viongozi wetu , utakuta eti mkuu wa wilaya au mkoa ndio MC wa kutangaza mshimdi
ili tuwaamini zaidi, BEtting is best Gambling you know how you win or not.
Heee ww ndio unajua leo kuwa ni matapeli? Duu pole.Mara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra saana kupokea.
wapo wengi tu wanaolalamikia juu ya hayo hapo juu..
Tunaomba Serikali muwatazame hawa jamaa isijekuwa ni matapeli...
hawa jamaa ni matapeli kwa mfano unacheza wanakuambia bado nafasi 2 ushinde ukinunua tiketi 4 kwampigo mda huo huo wanakujibu bado nafasi 30 ushinde na hata hizo namba wanazo weka kuwa watu wameshinda ukiwapigia hawajibu chochote huu ni wizi wa wazi selikari futa mchezo huu utafilisi watu wasio jua chochote na wMara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra saana kupokea.
wapo wengi tu wanaolalamikia juu ya hayo hapo juu..
Tunaomba Serikali muwatazame hawa jamaa isijekuwa ni matapeli...
Kweli itakuwa vema ni PMNaitaji Folowers wa Kutandika Mikeka tue tunakutana tunajadili namna ya Kumpiga Mhindi. Kma upo interested na hii kitu plz ni PM tu tuanzishe jukwaa letu