BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Mbaya zaidi wanajifunika mwamvuli wa viongozi wetu , utakuta eti mkuu wa wilaya au mkoa ndio MC wa kutangaza mshimdi
ili tuwaamini zaidi, BEtting is best Gambling you know how you win or not.
Mkuu njoo inbobo tue tunashare mikeka, Naitaj wabetishaji wenzang tue tunapeana ujuzi
 
Mara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra saana kupokea.

wapo wengi tu wanaolalamikia juu ya hayo hapo juu..
Tunaomba Serikali muwatazame hawa jamaa isijekuwa ni matapeli...
Serikali INA mambo mengi ya kufanya siyo huo ujinga wmeshase mchezo wa kubahatisha
 
Mara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra saana kupokea.

wapo wengi tu wanaolalamikia juu ya hayo hapo juu..
Tunaomba Serikali muwatazame hawa jamaa isijekuwa ni matapeli...
Michezo ya kubahatisha haijawahi kumuacha mtu salama
 
As long as serikali inapata kodi yake hayo mengine ndio Yale ya vigezo na masharti kuzingatiwa...hawajakulazimisha kucheza..utash:ikiwaje akili utoke buku yako hujui kinafanyika nini eti utegemee kupata mamilioni..aaah brother! Yaani ni bora Anayetandazaa Mkeka Kwa kubashiri kuwa nani ashinde..adroo..au afungwe..
 
Kamari ni haramu!kubali kudhulumiwa Kwa namna yoyote ile
 
Mbaya zaidi wanajifunika mwamvuli wa viongozi wetu , utakuta eti mkuu wa wilaya au mkoa ndio MC wa kutangaza mshimdi
ili tuwaamini zaidi, BEtting is best Gambling you know how you win or not.
Yaani bora hata wale wa mikeka..hiyo biko siielewi
 
Mara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra saana kupokea.

wapo wengi tu wanaolalamikia juu ya hayo hapo juu..
Tunaomba Serikali muwatazame hawa jamaa isijekuwa ni matapeli...
Heee ww ndio unajua leo kuwa ni matapeli? Duu pole.
 
Mara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra saana kupokea.

wapo wengi tu wanaolalamikia juu ya hayo hapo juu..
Tunaomba Serikali muwatazame hawa jamaa isijekuwa ni matapeli...
hawa jamaa ni matapeli kwa mfano unacheza wanakuambia bado nafasi 2 ushinde ukinunua tiketi 4 kwampigo mda huo huo wanakujibu bado nafasi 30 ushinde na hata hizo namba wanazo weka kuwa watu wameshinda ukiwapigia hawajibu chochote huu ni wizi wa wazi selikari futa mchezo huu utafilisi watu wasio jua chochote na w
 
Naitaji Folowers wa Kutandika Mikeka tue tunakutana tunajadili namna ya Kumpiga Mhindi. Kma upo interested na hii kitu plz ni PM tu tuanzishe jukwaa letu
 
Narudia tena, gutuka.. Unaliwa.. Hata Yesu aache kazi zake zote aje kwenye mawingu meupe akusimamie hushindi ng'o!

Utapeli, utapeli na ajitokeze mtu mmoja hapa aseme kama aliwahi kushinda hata laki 1 tu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom