BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Mboni wanashinda watu.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Kamari ya aina yoyote kushinda ni asilimia chache sana, na kuliwa ni asilimia nyingi sana.

Hata wale wanaocheza Kamari za Mipira wanaodai wanaishi kwa Kubashiri Mipira ni waongo
 
Mboni wanashinda watu.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Gambling is an addiction. Unaweza kuliwa 10,000/10,000 mwezi mzima. Ukishinda 200,000 kwa kuweka 10,000 unaona umepaaata.
Matajiri ni kama ulevi tu, wewe unapoteza hela kwenye bia yeye kwenye kamari.
Pia ususahau ukishinda wewe kuna wenzio 1000 wameliwa. Otherwise Casinos zingefilisika.

The house never lose.
 
Acha uongo, mimi nimeshinda san kwa tatu mzuka, sina uhakika na biko mana sijawahi kushinda
 
heri nibet mpira kwa akili yangu na c hzo habari za biko cjui nn ni umbuzi mtupu
 
Wana JF kutokana na akili zangu ndogo nimekuwa sana najiuliza huu mchezo jinsi unavyoendeshwa kama maigizo vile,

Kwanza washindi wote huwa lazima simu zao zinapatikana,
Halafu Kwa sababu wanarusha live mtazame kajala Kama huwa anapiga ile simu, kingine kila mshindi huwa sio mshiriki wa mara ya Kwanza Lazima akiulizwa atasema kishacheza mara nyingi, Halafu atasema kuwa alishashinda elfu 50 na laki,
Kama mchezo ni bahati nasibu na inaendeshwa Kwa namba Kwanini hakuna namba mpya hata moja kushinda? Yaani mshiriki wa mara ya Kwanza tu,halafu tazama mtu anaepigiwa Simu itaita mara mbili kapokea, yaani Kama mtu kaambiwa shikilia simu tutakucall,

Jamani mimi bado sijaamini huu mchezo kabisa haujanishawishi, Nina hayo Tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Bora ukabet uchane mkeka, sio Biko tu hata tatumzuka Sinaga iman nao sana Naona wanapiga hela tu, Naona population ya watu wakaona kuna kafursa cha kupiga hela though wanalipa kod

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Bora ukabet uchane mkeka, sio Biko tu hata tatumzuka Sinaga iman nao sana Naona wanapiga hela tu, Naona population ya watu wakaona kuna kafursa cha kupiga hela though wanalipa kod

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ubet ni kitu ambacho hata ukipoteza unaona lakini hii BIKO na Tatu mzuka ni aina fulani ya utapeli uliojificha kwenye kulipa Kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…