titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
The house never lose....
It always win.kamari ni biashara kichaa kwa mchezaji,ila inafaida kubwa kwa mchezeshaji,the odds are always in favor of the house
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The house never lose....
They Say It's The Whiteman I Should Fear.....But It's My Own Kind Doing The Killing Here.....
Gambling is an addiction. Unaweza kuliwa 10,000/10,000 mwezi mzima. Ukishinda 200,000 kwa kuweka 10,000 unaona umepaaata.Mboni wanashinda watu.
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
One of the ILLEST.Never get tired of All Eyes On Me...
Wife nimemzuia kucheza lakini anacheza Kwa Siri, Mimi siwezi kucheza kitu hiki,
Bora ubet ni kitu ambacho hata ukipoteza unaona lakini hii BIKO na Tatu mzuka ni aina fulani ya utapeli uliojificha kwenye kulipa KodiAisee Bora ukabet uchane mkeka, sio Biko tu hata tatumzuka Sinaga iman nao sana Naona wanapiga hela tu, Naona population ya watu wakaona kuna kafursa cha kupiga hela though wanalipa kod
Sent using Jamii Forums mobile app