buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 2,007
- 7,126
Ukiangalia kwenye ile mashine yao inavozungusha namba utaona namba inaanza moja moja had kutimia namba kumi zote
Kwa mfano inaanza
0 zen inafata 6 or 7 halafu znaendelea namba nyingine hadi zinatimia zote
Swali la kujiuliza ni je hizo bahat nasibu zinachezwa na watanzania wote? Kama sio kwanini mchakato wa namba huanza moja moja?
Kama ishu n program swali linakuja mbona hiyo droo huzungushwa kwa sekunde chache had kupelekea mshindi apatikane?
Conclusion...
Kwakua huu mchezo ni bahati nasibu basi endeleeni kucheza one day yes mtakuja kuwa nasibu kamili