Changa la macho ukifuatilia ni kama wanaofanya zamu zamu ya mikoa umri fani na jinsia hawana lolote wanasikia watu eti number imezungushwa hata hajatulia kujua ni number gani tayari wameahampigia alie shinda hahahahaWana JF kutokana na akili zangu ndogo nimekuwa sana najiuliza huu mchezo jinsi unavyoendeshwa kama maigizo vile,
Kwanza washindi wote huwa lazima simu zao zinapatikana,
Halafu Kwa sababu wanarusha live mtazame kajala Kama huwa anapiga ile simu, kingine kila mshindi huwa sio mshiriki wa mara ya Kwanza Lazima akiulizwa atasema kishacheza mara nyingi, Halafu atasema kuwa alishashinda elfu 50 na laki,
Kama mchezo ni bahati nasibu na inaendeshwa Kwa namba Kwanini hakuna namba mpya hata moja kushinda? Yaani mshiriki wa mara ya Kwanza tu,halafu tazama mtu anaepigiwa Simu itaita mara mbili kapokea, yaani Kama mtu kaambiwa shikilia simu tutakucall,
Jamani mimi bado sijaamini huu mchezo kabisa haujanishawishi, Nina hayo Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio pesa rahisi, je mchezo huo uko halisi au Maigizo?Hakuna hela ya bure.. hata hao wenye michezo wameumiza kichwa, ukitaka kula sharti uliwe pia.
Mi hawajanishawishi hata kidogo yani. Ni heri football betting everybody has an equal chance to win provided ubashiri ni sahihi.
Umenikumbusha kitambo sana hiyo ya viringi mkuuHio ya biko sijui tatu mzuka haina tofauti na ile ya kurusha viringi ushinde sabuni au mchezo wa korokoro.
Its very easy ku introduce mbinu ya kitapeli hapo watu mnachanga buku buku zenu kwa siku hata wakiingiza million 5 tu hawana hasara. End of the week anachaguliwa mtu anapewa hela kama geresha kumbe katika ile ishirini yake million mbili tu.
Hahaha enzi hizo niko mwananyamalaUme
Umenikumbusha kitambo sana hiyo ya viringi mkuu
Biko hairushwi live ni recorded so suala la hakun anayepigiwa hapokei is not more issue mayb kutokan n sabab za airtime wanabajeti. Ila hiyo , mil 50 kuipataInwezekana uyasemayo. Ila mimi jana nimeshibda elfu 20 ingawa lengo langu siyo elfu 20 bali hiyo milioni 50.
Hilo la simu za washindi kupatikana hamna hata moja inayopigwa kisha isipatikane nami napata mashaka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Agent at work.....acha kudanganya watuTrust me huyu jamaa aliyeshinda Mil 50 nimesoma naye chuo Mbeya ni mshkaji kiufipi pia ni mdogo wa 94 so kanambia hata yy anashangaa kashinda so sidhani kama ni uongo kivile.
Sent using Iphone 7+
Mkuu asiekuelewa atakuwa "Mkuu wa Mkoa"Hamna pesa rahisi duniani
Mnachezaje hiyo biko ?kwa kutumia simu?Inwezekana uyasemayo. Ila mimi jana nimeshibda elfu 20 ingawa lengo langu siyo elfu 20 bali hiyo milioni 50.
Hilo la simu za washindi kupatikana hamna hata moja inayopigwa kisha isipatikane nami napata mashaka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachezaje hiyo bikoKuna mshikaji wangu yupo MTO wa mbu huko Manyara anafanya tour guard ,week mbili zilizopita nilishangaa ametangazwa channel 10 ameshinda mil 30,na akahojiwa ila kama ni utapeli mbona sometimes ukicheza unaweza kujishindia buku 5 au 10 papo kwa papo
Wizi mtupu HALOTELBora hao wote naona hata kunawatu wanapewa hzo hela ila kuna hawa Halotel nikiweka vocha tu zinaanza kuja sms zao za namba - halo win chakushangaza sijawahi ona inapofanyika hii bahati nasibu wala kushinda hata air time.
Sent using Jamii Forums mobile app