Bora ile ya airtel iliyokuwa inatangazwa na yule msanii mshkaji ailinunuliwa mtumbwi na nyavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu wanaenda,..mkoa,...kwa mkoa..ili ionekane wote wanashindaWana JF kutokana na akili zangu ndogo nimekuwa sana najiuliza huu mchezo jinsi unavyoendeshwa kama maigizo vile,
Kwanza washindi wote huwa lazima simu zao zinapatikana,
Halafu Kwa sababu wanarusha live mtazame kajala Kama huwa anapiga ile simu, kingine kila mshindi huwa sio mshiriki wa mara ya Kwanza Lazima akiulizwa atasema kishacheza mara nyingi, Halafu atasema kuwa alishashinda elfu 50 na laki,
Kama mchezo ni bahati nasibu na inaendeshwa Kwa namba Kwanini hakuna namba mpya hata moja kushinda? Yaani mshiriki wa mara ya Kwanza tu,halafu tazama mtu anaepigiwa Simu itaita mara mbili kapokea, yaani Kama mtu kaambiwa shikilia simu tutakucall,
Jamani mimi bado sijaamini huu mchezo kabisa haujanishawishi, Nina hayo Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, ni sawa na Tatu mzuka,Unatumaje Hela hujui inachezeshwaje .... Bora U BET unaona Kabisa Man U kashinda Hela hii hapa..
Sent From INFINIX NOTE 3 PRO
Inwezekana uyasemayo. Ila mimi jana nimeshibda elfu 20 ingawa lengo langu siyo elfu 20 bali hiyo milioni 50.Wana JF kutokana na akili zangu ndogo nimekuwa sana najiuliza huu mchezo jinsi unavyoendeshwa kama maigizo vile,
Kwanza washindi wote huwa lazima simu zao zinapatikana,
Halafu Kwa sababu wanarusha live mtazame kajala Kama huwa anapiga ile simu, kingine kila mshindi huwa sio mshiriki wa mara ya Kwanza Lazima akiulizwa atasema kishacheza mara nyingi, Halafu atasema kuwa alishashinda elfu 50 na laki,
Kama mchezo ni bahati nasibu na inaendeshwa Kwa namba Kwanini hakuna namba mpya hata moja kushinda? Yaani mshiriki wa mara ya Kwanza tu,halafu tazama mtu anaepigiwa Simu itaita mara mbili kapokea, yaani Kama mtu kaambiwa shikilia simu tutakucall,
Jamani mimi bado sijaamini huu mchezo kabisa haujanishawishi, Nina hayo Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fafanua hapo mkuu..Ni kwel hilo ni changa la macho mimi dogo walimpigia kashinda mil 10 then wAkaanza kimzingua kuwa sio wewe uliekusudiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapata mkuu. Watu milioni mbili kila siku wanacheza. Zidisha mara sh 1000 kwa kila mtu.Biko hiyo jumatano na jumapili million 50 iv wao pesa wanapata WAP tena kwa 1000
Alafu ww ushinde kirahisi rahisi 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Mil 50 inazidi wakikusanya hizo buku buku wanazokusanyaBiko hiyo jumatano na jumapili million 50 iv wao pesa wanapata WAP tena kwa 1000
Alafu ww ushinde kirahisi rahisi 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mshikaji wangu yupo MTO wa mbu huko Manyara anafanya tour guard ,week mbili zilizopita nilishangaa ametangazwa channel 10 ameshinda mil 30,na akahojiwa ila kama ni utapeli mbona sometimes ukicheza unaweza kujishindia buku 5 au 10 papo kwa papoAlaf washindi wa izo 50m hawajawai toka mkoa mmoja ni lazima atoke mkoa ambao hakuna mtu aliyewahi shinda hapo ndo huwa wananishangaza hawa biko
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF kutokana na akili zangu ndogo nimekuwa sana najiuliza huu mchezo jinsi unavyoendeshwa kama maigizo vile,
Jamani mimi bado sijaamini huu mchezo kabisa haujanishawishi, Nina hayo Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hela ya bure.. hata hao wenye michezo wameumiza kichwa, ukitaka kula sharti uliwe pia.Bora ubet ni kitu ambacho hata ukipoteza unaona lakini hii BIKO na Tatu mzuka ni aina fulani ya utapeli uliojificha kwenye kulipa Kodi
Sent using Jamii Forums mobile app