BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Hahahaa kekundu nouma sana mkuu. Michezo hiyo siyo kabisa

Fikirieni kwann haipo nchi zilizoendelea hko???? Kwann imekuja kwa kasi zaidi kwa nchi masikini siku hzi?!

Nje hata kama wanacheza betting, co za hvi bico cjui nn. At least za football games na games zingine sawa.

Betting za mpira zipo wazi na ukiwa mtulivu unakula.
Wanachezea chumbani, wizi kabisa! Mi Mara ya mwisho kucheza kamari ya karata tatu ilikuwa 1995, nilipewa Tsh.500 kununua mazaga sokoni. Nikakuta kamari ya bahasha ipi yenye barua, nikaona simpo ila hela sina. Eti wakanipa mtaji wa buku, nikacheza nikapatia. He! Eti weka buku upate buku mbili, nkawaambia nina Jero! Wakaniambia weka hiyohiyo! Kuweka tu, nikaliwa! Nilipatwa na kizunguzungu kikali. Nikawa nazungumka mjini bila kuskia sauti za magari wala za watu. Hapo natafuta cha kudanganya home! Ila baadae nikaamua kwenda kusema kuwa hela imedondoka. Na uwongo wangu uliniokoa. Na hadi leo sijawasimulia. Ila nikaapa kamari hizi za kishenzi ni marufuku.
 
Hahahaa mkuu, umetisha sana aisee. Ulitaka ukuze jero upate ya ziada, wajanja wakakuwahi. Bahati yko ilikuwa jero ingekuwa buku 10 ungechezea nakoz hom
 
Nilipokea SMS toka Nguvu ya buku kuwa bado masaa sita utangazwe mshindi shiriki sasa.
Nilikuwa na buku tano kwenye tigo pesa 067684832* nika tuma buku ,BIKO,nikaambiwa bado nafsi tatu nikatuma 3000 kimya nikamalizia 1000 kimya mpaka sahii.
Kifupi wamenia 4000 bila taarifa yeyote.
Wakati kwa mbet nili weka 500 tu nikaandika under, under mpaka zika fika kumina tano. Nikala 1980234 paid winner, nirudishieni buku NNE zangu biko nibetie.mnaila bila hata kunijurisha?
 
Back
Top Bottom