Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Hizo clues ulizoona kwa huyu mdada zifanyie kazi; kuhusu suala la kujua kama 'rakibi' ya huyo GF wako kama iko still sealed mmh, watafute wataalamu watakwambia.

Poa Mkuu Hv Ndo Niko Kwenye Mchakato
Sasa Mbona Iko Kinyume...Yaani "Rakibi" Badala Ya "Bikira"?
 
Dah!mimi Sio ZOBA,mimi Ni MKARIMU Mkuu!

post yako inaonesha kuna elements za uzoba mkuu,,,unasema mshahara wake ni mdogo,ila anabadili nguo na mapambo daily na wewe upo kimyaaaaa,,,,SI UZOBA HUO?????NAMBIE UKARIM UKO WAPI HAPO????
 
mkuu huyo binti hana bikra wala nini maana mimi kuna kibinti nilijuana nacho kina miaka 16 kama miaka minne iliyopita na kilikuwa kinajifanya ni bikra sasa kila nikikutana nacho faragha nafanya nacho romance za nguvu na kila nikikutana nacho nilikua naongeza mautundu mpaka kikaachia unadhani nilikuta bikra? Palikua wazi
 
post yako inaonesha kuna elements za uzoba mkuu,,,unasema mshahara wake ni mdogo,ila anabadili nguo na mapambo daily na wewe upo kimyaaaaa,,,,SI UZOBA HUO?????NAMBIE UKARIM UKO WAPI HAPO????

mimi Ni MKARIMU Sababu Kama Romance Twaenda Ila Sitaki Kuua Kimabavu
Sio Uzoba huu Bali Ni Ukarimu!
 
Nina Gf Wangu(anajitegemea) Ambaye Kiukwel Ninampenda Sana Na Ndio Maana Hata Aliponizuia Kuwa Nisimwage Wino Mpaka 2we Ktk Ndoa kwa Kuwa Yeye Ni Bikra Na Hakuna Anayeistahl Mpaka Yule Atakayemuoa(mimi),
Mzee Nikanywea Na Ku2lia

Ila Maisha Ya Mahusiano Haya Kiukwel Naish Kimashakamashaka Hasa Ukizangatia Nampenda Halafu Mwisho Wa Siku Nikapigwa Pilipili Ya Macho
Na Hyo Bikra Yake kama Mwana jf Fulan Hv.
Huyu Gf Mimi Ni Mwanaume Wa Pili Anadai Wa Kwanza Alianza Nae Mahusiano Toka Shule Na Wakadumu Kwa Miaka Miwil Kisha Wakaachana
Ingawa Anadai Nae Hawakuduu Nae.

Wajamen Naomba Msaada Namna Ya Kumjua Mwanamke Bikra... kwani Nimechoka Mwenzenu Na Hizi Propaganda Zake

Suala La Pili Ni Kwamba Huyu Gf Wangu Kila Wiki Anavaa Nguo Mpya Vlievile Hata Kichwan Yaan Ni Bandika Bandua Fashen Za Nywele After 2 Wiks
(najua Mshahara Wake Haukiz Mambo Yote Haya)

USHAUR WAJAMEN PLZ MWENZENU NIMEFUNGWA!!

Hii mbona rahisi we hapo muite gheto mtekenze tekenye alafu muombe umchungulie hiyo bikra yake.
 
mkuu huyo binti hana bikra wala nini maana mimi kuna kibinti nilijuana nacho kina miaka 16 kama miaka minne iliyopita na kilikuwa kinajifanya ni bikra sasa kila nikikutana nacho faragha nafanya nacho romance za nguvu na kila nikikutana nacho nilikua naongeza mautundu mpaka kikaachia unadhani nilikuta bikra? Palikua wazi

duh!UJUMBE UMEFIKA...Niko Kwenye Mchakato Wa Kuangusha Mbuyu Kwa Pumzi Ya Mluzi!
 
Hii mbona rahisi we hapo muite gheto mtekenze tekenye alafu muombe umchungulie hiyo bikra yake.

mbona Sana 2 Tena Mpaka KATELERO imehusishwa
Ila Ndo Hvyo Mfalme Hajavikwa Taji!
 
daaah,, kama vifaranga vya kuku,, mama yake huwa anavi-promis vitanyonya kesho wakati hana maziwa.. but at the end huwa vinakua tu kwa promise bila kunyonya...
 
daaah,, kama vifaranga vya kuku,, mama yake huwa anavi-promis vitanyonya kesho wakati hana maziwa.. but at the end huwa vinakua tu kwa promise bila kunyonya...

mh!Wengi Wape...Shukran Kwenu
Niko Kwenye Mchakato Kabambe!
 
mimi Ni MKARIMU Sababu Kama Romance Twaenda Ila Sitaki Kuua Kimabavu
Sio Uzoba huu Bali Ni Ukarimu!

umezungumzia romance tu,vip kuhusu kujipamba bila wewe kupata uhakika mapambo yanatoka wapi?????
 
Don trust a woman who says is a virgin until da day u see blood, Mwenzio wangu nshamtoa japokua nilikua siamin alivyokua ananiambia acha kuchakarka utashika mapembe mpaka ukome af usipoikuta cjui atakuambia imeibiwa au imeenda wap!!!!
WAKEUP MAN!!
 
Back
Top Bottom