Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

kwa DSM hii huyo atakuwa na bikira ya 0713 tena na hiyo siyo uhakika kwahiyo kaa mguu pande usijekuoa ukakuta na p-u-m-b-u ndani si utauwa.. akili kumkichwa
 
safari Ni Ndefu Sana Na Ndio Maana Nikasema Dalili Za Mwanamke Bikira ni Zip?
Wala Mimi Sina Njaa Na Hyo Nanihii.... Yake Kwa Sasa.
ila Nahofia Kupotezeana Malengo Na Mipango Ya Mbele.
Kama waitaka safari ndefu na huyo mwenza wako basi huna haja sana ya kuifikiria bikra yake na yafaa usubiri wakari muafaka utakapofika.
Malengo na mipango yako ya mbele si bikra wala kupendeza kwake bali ni mipango yenu ya pamoja na kusihi kwa kujua kuwa mna malengo ya pamoja na kuaminiana.
Nakutakia safari njema na mwenza wako ila kumbuka katika safari yoyote huwa misukosuko haikosi hivyo ikitokea jaribu kuwa mvumilivu na mtadumu.
 
siku hizi zipo tooo inconvinient. anawezaa kua bikra voda kumbe tigo baaas.....!
anyway, kama mpo sirias kias hicho bas tunzaneni.
 
Inawezekana ana umia ila anashindwa kusema ukweli lakini me naona ajapoteza kitu kama akiona vip ana kula mzigo alaf ana utema!

huyu anaumia kuwa mshika pembe.

Bora nayeye aanze kumkamua huyu mwanadama.

Atasubiri wee wenzie wanamzeesha bora amkamue tu.

Weee mwanamme leo ana les wig, kesho yebo yebo keshokuwa utajiju, mara weave la joti mara braziliani.

Wee mwache azubae atakuja mifupa, jamaa washamaliza minofu yoote.

Hata kama hana hamu ale tu.
 
amekuambia alikuwa na m2 wakaachana jiulize nini kilichomfanya amkimbie ,pili huyo GF wako sio bikra alishakujulisha kuwa na mtu kabla yako ,wewe unasubiri nini na ameshakusoma unataka kumuumbua kuwa yeye si bikra tegemea chenga zisizo na mwisho kutoka kwake .

uckonclude
wkt
huna
uhakika,kwani
akiwa
na
m2
lazima
adu
nae?
mbona
uyu
wa
sasa
hajadu
nae?
 
Hapa ndo nnapokumbuka kale kawimbo ka banana "subira yangu,ndio iliyoniponza..ngojangoja naonekana zoba...."zoba yoyoyo,zoba mamaama!!
 
We shida yako utakikujituma, kama ukifika mlangon ukawa umefungwa basi chungulia hata dirishani ujue kilichopo ndan. Sikwambii uka mdoo ila ukwel upo hatakama utofanya hvyo.
 
Acha uzoba fuatilia kwa makini ni lini utapewa tunda,usijekuta unacheleweshwa bila sababu,maana bikira nyingine kama za zenji.
 
bandua mzigo atanyamaza la sivyo utajajuta ukikuta usichokitarajia maana atakwambia, bikra iliondokaga wakati akicheza Rede
 
Back
Top Bottom