Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
kwa DSM hii huyo atakuwa na bikira ya 0713 tena na hiyo siyo uhakika kwahiyo kaa mguu pande usijekuoa ukakuta na p-u-m-b-u ndani si utauwa.. akili kumkichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama waitaka safari ndefu na huyo mwenza wako basi huna haja sana ya kuifikiria bikra yake na yafaa usubiri wakari muafaka utakapofika.safari Ni Ndefu Sana Na Ndio Maana Nikasema Dalili Za Mwanamke Bikira ni Zip?
Wala Mimi Sina Njaa Na Hyo Nanihii.... Yake Kwa Sasa.
ila Nahofia Kupotezeana Malengo Na Mipango Ya Mbele.
mweeeh!
huyu anaumia kuwa mshika pembe.
Bora nayeye aanze kumkamua huyu mwanadama.
Atasubiri wee wenzie wanamzeesha bora amkamue tu.
Weee mwanamme leo ana les wig, kesho yebo yebo keshokuwa utajiju, mara weave la joti mara braziliani.
Wee mwache azubae atakuja mifupa, jamaa washamaliza minofu yoote.
Hata kama hana hamu ale tu.
amekuambia alikuwa na m2 wakaachana jiulize nini kilichomfanya amkimbie ,pili huyo GF wako sio bikra alishakujulisha kuwa na mtu kabla yako ,wewe unasubiri nini na ameshakusoma unataka kumuumbua kuwa yeye si bikra tegemea chenga zisizo na mwisho kutoka kwake .
mke mwenza upo? hubby amenyamaza??
hahaaaa.......... Listen to shori.mp3 - kata buzz on Hulkshare - Free Music Streaming & Downloadm-bake! ! ! ! !