Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Aisee pole sana msela! Kwanza lazima utambue kuwa wanawake siku zote wana hulka ya kujilinda, hayuko tayari kukwambia ukweli ile hali anajua atakuudhi. Hivyo hutumia uongo kama gia ya kukufanya umpende zaidi ila mwisho wa siku akikupa mzigo unakuta hola, ukimuuliza vp anakwambia "ningekwambia sina bikira usingenipenda kwa dhati."

Vilevile jitahidi kutumia mbinu yoyote mpaka umgonge, kwani demu hawezi kukupenda kwa dhati kama hujamgonga, na akipata mtu atakayemgonga vizuri ataanza kukuletea dharau halafu ukimzengua anakupiga kibuti mazima. coz si anajua yuko na anayejua kumkuna na sio wewe anayekuona NYOKA WA KIBISA.

Mademu wa sikuhizi wanataka mkianza uhusiano ndani ya wiki muwe mmeshagongana, kinyume na hapo nafasi anaiacha wazi mwanaume yeyote atakayeshusha mashairi mazuri anaachiwa mzigo.

NI VIGUMU KUMTAMBUA MSICHANA MWENYE BIKIRA LABDA KAMA KUNA WANA SAIKOLOJI KAMA WANAWEZA KUMTAMBUA.
HALAFU SIKUHIZI BIKIRA ZINAUZWA MADUKANI.View attachment 61538

Mh!Hli Nalo Jipya...yaan Mpaka Nimgonge?
itabid Nidai Hak Yangu Mapema!
 
Daah!! mkuu pole sana kwa uvumilivu wako wa kusubiria hiyo bikra. Kwani bikra unaipa nafasi gani kwenye mahusiano yako ya kimapenzi na utafanyaje ikiwa mkikubaliana kufunga ndoa kwa kujua utamkuta bikra halafu ukagundua kitu hakipo sealed?

Kwa upande wangu bikra sio issue sana kwenye mahusiano........awe nayo asiwe nayo nachohitaji ni upendo wa kweli, kujaliana, kusikilizana, kuliwazana, kuheshimiana, kusaidiana n.k n.k, kama hivyo vyote ana ''F'' basi piga chini faster na uangalie ustaarabu mwingine ila kama unataka hiyo bikra isubirie ndugu yangu wengine michezo hiyo ilishatupita kitambo tu!

Nami Bikra Sio Ishu
Ila Suala Hapa Ni Kumsave M2 Alafu end Of The Day Unakuta Mambo Tofaut Na Alivyokwambia
Namaaninish Kupoteza Tym yangu 4 Nothng!
 
Nimecheka sanaa...ulipotaja word *BIKRA*
Kuna Bikra na bikira ..bikira ni kinyume cha Neno Birika....

Bikra ni kinyume cha neno karib...
Sasa wewe umehaidiwa ipi

Jukwa La Lugha?
Ila Mimi Hapa Namaanisha Ile Ari Ya Msichana/Mwanamke kutoingliwa Kimapenz Kwa Namna Yoyote Ile!
 
ukiona demu anapendeza ujue kuna wanao muudumia kaka na kama amekwambia yeye ni bikra kamwe hawez kukuruhusu kuduu nae coz anajua amekudanganya kama mpige chini
 
kaka acha naye tafuta wa kudumu naye. hao ndiyo zao nilikaa na duu miaka miwili akidai bikra nisubiri hadi ndoa lakini baadaye ananiacha

Aahaaa!
Ona Sasa...Mimi Kuachwa Kwa Kupotezewa Mda Huwa Ckutak Cz Najua Itaifect Mimi Pamoja Na yeye!
 
ukiona demu anapendeza ujue kuna wanao muudumia kaka na kama amekwambia yeye ni bikra kamwe hawez kukuruhusu kuduu nae coz anajua amekudanganya kama mpige chini

Daaah!
INACHOMAAAAAAA...
 
kubaka si lazima umchanie kyupi na mkasi na umvute nywele.

Mbona mie kuna mmoja nilimbaka na akafurahia tu hadi leo tuko pamoja???

Mfano: mkaka anakusumbua, mwalike kwako, mwandalie starter ya supu ya pweza, karanga na mohogo.

Main course mpe msosi wa maana si chips kuku

Dessert mpe whisky ya kutosha, pia wewe mwenyewe jiweke mkao wa kuliwa hapa namaanisha, jipakue kabisa kwenye sahani, mwekee uma na kisu karibu.

Haruki kiunzi.

Sasa hapa hujabaka tu???

jamani na wewe unatoa ushauri wa dizaini hii.? mi hata sikubali
 
kubaka si lazima umchanie kyupi na mkasi na umvute nywele.

Mbona mie kuna mmoja nilimbaka na akafurahia tu hadi leo tuko pamoja???

Mfano: mkaka anakusumbua, mwalike kwako, mwandalie starter ya supu ya pweza, karanga na mohogo.

Main course mpe msosi wa maana si chips kuku

Dessert mpe whisky ya kutosha, pia wewe mwenyewe jiweke mkao wa kuliwa hapa namaanisha, jipakue kabisa kwenye sahani, mwekee uma na kisu karibu.

Haruki kiunzi.

Sasa hapa hujabaka tu???

Nimekupata Mkuu!
Yaan Kubaka Kwa Kuchekeleana!
 
wewe unachoogopa nini hapo? kuwa mshika pembe? unajua unaweza kumkimbia huyo ukaenda pengine na ukaendelea kushika pembe vilevile hata huko? ushawahi kumuuliza pesa za nguo na saloon huwa anatoa wapi? mi nadhani muulize kabla ya kuanza kuhisi
 
Daah!
Hapo Nimenywea Cz sijawah kumdadisi!
Ila Nitafanya Hvyo.
 
kubaka si lazima umchanie kyupi na mkasi na umvute nywele.

Mbona mie kuna mmoja nilimbaka na akafurahia tu hadi leo tuko pamoja???

Mfano: mkaka anakusumbua, mwalike kwako, mwandalie starter ya supu ya pweza, karanga na mohogo.

Main course mpe msosi wa maana si chips kuku

Dessert mpe whisky ya kutosha, pia wewe mwenyewe jiweke mkao wa kuliwa hapa namaanisha, jipakue kabisa kwenye sahani, mwekee uma na kisu karibu.

Haruki kiunzi.

Sasa hapa hujabaka tu???

hapa hujabaka bhana,kubaka lazima "mabavu" yatumike
 
ni kubaka tu.

Hivi ukimwekea mwanamme viagra mkiwa wawili ndani tu, hujambaka??

Hakuwa na nia ya ku du.

Hii ni polished rape.
hapa hujabaka bhana,kubaka lazima "mabavu" yatumike
 
afungwe wapi?

Wanaofungwa ni wanaobakia kwenye darasa la shule au uchochoroni.

Hebu kabakie pale Serena au Hyatt sijui kama binti hata atalalamika.

Sana atakwambia ulichelewa sana kunibaka, nlikuwa nakushangaa tu.

Hahahahahahahahhahahahahaha
kongosho unataka jamaa afungwe?
 
Kongosho kwa tatizo la huyu jamaa si kwamba ana hamu sana me naona ana hisi mzigo wake unachukuliwa wakati yeye mwenyewe hauli na alikubaliana na hayo masharti.

Huyu jamaa yuko tayari kusubiri mpaka ndoa!

Ila hapo kwenye mfano wako umenicha hoi sipati picha maana najua wanawake wengi wanashindwa

Back
Top Bottom