Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
- Thread starter
- #81
Aisee pole sana msela! Kwanza lazima utambue kuwa wanawake siku zote wana hulka ya kujilinda, hayuko tayari kukwambia ukweli ile hali anajua atakuudhi. Hivyo hutumia uongo kama gia ya kukufanya umpende zaidi ila mwisho wa siku akikupa mzigo unakuta hola, ukimuuliza vp anakwambia "ningekwambia sina bikira usingenipenda kwa dhati."
Vilevile jitahidi kutumia mbinu yoyote mpaka umgonge, kwani demu hawezi kukupenda kwa dhati kama hujamgonga, na akipata mtu atakayemgonga vizuri ataanza kukuletea dharau halafu ukimzengua anakupiga kibuti mazima. coz si anajua yuko na anayejua kumkuna na sio wewe anayekuona NYOKA WA KIBISA.
Mademu wa sikuhizi wanataka mkianza uhusiano ndani ya wiki muwe mmeshagongana, kinyume na hapo nafasi anaiacha wazi mwanaume yeyote atakayeshusha mashairi mazuri anaachiwa mzigo.
NI VIGUMU KUMTAMBUA MSICHANA MWENYE BIKIRA LABDA KAMA KUNA WANA SAIKOLOJI KAMA WANAWEZA KUMTAMBUA.
HALAFU SIKUHIZI BIKIRA ZINAUZWA MADUKANI.View attachment 61538
Mh!Hli Nalo Jipya...yaan Mpaka Nimgonge?
itabid Nidai Hak Yangu Mapema!