Bikra Na umuhimu wake ktk mahusiano Na ndoa

Bikra Na umuhimu wake ktk mahusiano Na ndoa

Mi mademu bikra nilishasemaga sigongi hao..! Haya mambo ya "Naumiaa naumiaa" siyataki mie..! Mi nataka kanyaga twende kitu mterezo..!
Hata leo ukiileta mbunye yako ikiwa na kutu ntakwambia tafuta mtu mwenye kuweza kuvumilia usumbufu aitoe then ndo uilete tena..!

SHUBAAMITI..!

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kumwambia hivi bint mmoja.. Nikamwambie nenda wakakutoe huko.

Ajabu ni kwamba nimekutana na mwingine wiki moja sasa..Huyu nitajitahidi nimtoe.
Tatizo ni akili zao sasa. Yaani demu bikra mm namjua kwa ku-sense akili yake. Wanakua na akili flani hivi za ajabu ajabu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu yaani ni shida sana..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thamani ya mwanamke siyo Chenza thamani yake ni jinsi yeye alivyo,wengi wameolewa na chenza na ndoa zao wameshindwa kuzitunza,na wengi wameolewa na chungwa na wamedumu ktk ndoa zao
 
Bikra bikra!

Enzi za kale babu zetu walihakikisha watoto wao wanatunza bikra zao hadi siku ya ndoa!

Binti aliyejitunza alionekana kuwa ni bora zaidi Na heshima kubwa kwa wazazi wake!

Njia mbalimbali mfano kutandika kitambaa cheupe ilitumika siku ya kwanza ya fungate kujua kama binti amekutwa bikra au la!

Iwapo ikikutwa damu furaha vigelegele Na nderemo vilitamalaki nyumba nzima!

Mume aliona amepata mke kweli.

Kadiri miaka inavyosonga mtizamo Wa jamii unabadilika!
Sayansi imefanya uwepo Wa bikra bandia!

Je bikra bado ni njia nzuri ya kumtambua mke bora!

Wanawake walioolewa Na bikra Na wale waliozipoteza kabla maisha Na mtizamo Wa wenza wao ni Upi!

Wanaume waliooa bikra watueleze experience!

DJ sepetu
cc @ MBITIYAZA
 
Thamani ya mwanamke siyo Chenza thamani yake ni jinsi yeye alivyo,wengi wameolewa na chenza na ndoa zao wameshindwa kuzitunza,na wengi wameolewa na chungwa na wamedumu ktk ndoa zao
Siwezi mwamini mwanamke aliyetobolewa

Delle Alli
 
Mkuu tatzo hunifahamu..! Nmebahatika kugonga mademu bikra wawili, wote hao wakati ninagegeda ilikuwa shida tupu..! Kwanza mpaka umpeleke machinjioni inabd ufanye kazi ya ziada..! Then akishafika machinjioni bado pia aanze kukusumbua...! Unapiga maromance ya kutosha mpaka analainika... Ukitaka kuingiza dude tu kelele na usumbufu kwa sana...! Sasa shida yote ya nini wakati ile kitu ni starehe, kwann iwe karaha..! Maana inafikaga kipindi mood yote inakata atii..!
Baada ya kuhangika na hai wawili nmeona wazi kuwa kugegeda mabikra ni stress nisizoweza kuzivumilia...! Kama we unapenda hao wadudu hongera zako..!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli, unaweza kuacha nyapu kwa usumbufu na karaha.
 
Niliwahi kumwambia hivi bint mmoja.. Nikamwambie nenda wakakutoe huko.

Ajabu ni kwamba nimekutana na mwingine wiki moja sasa..Huyu nitajitahidi nimtoe.
Tatizo ni akili zao sasa. Yaani demu bikra mm namjua kwa ku-sense akili yake. Wanakua na akili flani hivi za ajabu ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado wana utoto utoto mwingi.
 
hahahaa kuoa mwanamke bikra sio guarantee ya wewe kuwa na ndoa imara! rafik angu kaolewa na bikra mwaka 2011 mwaka 2013 kaachana na mumewe haya wapi na wapi ! mtuache jaman
 
mtandao nikomeee! alafu ukitaka kuishi kwa amana zaid mie kwa akili zangu hzi ni bora ukaolewa na mwanaume /mke aliecheza sana na uajna wake... usioe mwanamke ambaye alikua hajafanya starehe baadae atataka kufanya hizo starehe amini hilo ! ni wachache sna wanaoendelea hvyo hvyo! binafs mie ujana ulitumika fresh sana tu starehe na bata amazing sasa hv sijaonaga kipya kwakweli! kila kitu nakiona poa tu....! wknd nipo na wanangu safiiii.... sasa mwanamke hujawah hata kuogelea ukiolewa si utasumbua mtaa wewe jaman! hujawah kwenda club uwiii! maboda boda watakuiba wakupeleke hehehehe,... applies na kwa mwanaume!
 
Nilifurahi kuingia ulimwengu wa kukata viuno. Maana ilikuwa na kutu nimegraduate nimepata mshahara wa serikali ipo! Halafu hainifaidishi chochote. Ila ukata huu bora ingekuwepo ningeiuza kwa King Mswati nkapata mtaji aisee MBITIYAZA
Madam kiuno
 
Back
Top Bottom