Bikra_wa_kisukuma

Status
Not open for further replies.
Ni kaka mtafutaji kwakweli,anajua nini anafanya,pia si mchoyo wa mawazo,ushauri..huyu ndo seth!!!
 

Attachments

  • 1411712387310.jpg
    40.5 KB · Views: 421
Le mutuz si ndo type zile zile kwanza atoe sababu zakumkimbia mzazi mwenzie(mama wa kizungu) kule boston nakurudi bongo...kaacha watoto kule...

Low and childish mind

Hayo ni maisha yake binafsi....sema ww umekataa mimba ngap na umechangia mimba ngap kutoka.......judge yourself bf u judge others...
 
Hilo jina katumia makusudi ili kuvuta watu,mambo ya marketing hayo,asingetumia hilo jina hata humu asingeandikwa

Respect to you madame...nilitaka kusema hivyohivyo hiyo ni marketing sidhani kama angetumia Seth watu wangemuulizia
 
Hana kitu hapo anasphiter zimeishalegezwa kitambo utaloa choo tu hapo tundu sha panuliwa upepo ukija linalia buuuuuu

Kuna wakati nasikitika tulipofika km binadamu.unandikaje mane no hayo bila hata wasiwasi.unamsapot uliyemquote?
 
Mimi naona kosa alilolifanya ni kuandika jina la bikra wa kisukuma,,,, tuwe na mtazamo unaojenga. Kama kuna rafiki yake humu amwambie abadirishe hilo jina na ikibidi fb abadirishe jina aweke la kwake kabisa. Simple like that

Hilo ndo jambo pekee Muhimu.nliwahi mwambia mshkaji angu am follow mana huwa anachekesha sana kwa post zake hasa fact za mahusiano, akagoma akijua sio mtu mzuri ila baada ya kumfatilia aliona kweli jamaa kichwa akanambia angekuwa anamfahamu angemshauri abadili jina tu..
 
- Yaani mtu kama mimi mwenye akili mingi na timamu nimchukulie serious mtu anayetumia ID ya bandia si nitakuwa nimepungukiwa nakuchukulia kama ulivyo kwenye picha ya profile yako cause inakusema vizuri ni mtu wa aina gani hahahahahahaha

Le Mutuz

Hujajibu hoja ya kumkaribisha jf. au jf sio social media?
 

Mimi kila nikiingia insta cha kwanza nimtafute Seth...ana vituko sana jamani
 
Mimi kila nikiingia insta cha kwanza nimtafute Seth...ana vituko sana jamani

Kwa wanaomfollow wanaelewa vp kaiteka mioyo yao. Huezi pita insta usitafte kuona karusha kombora lipi na litakuacha hoi...
 
Kwa wanaomfollow wanaelewa vp kaiteka mioyo yao. Huezi pita insta usitafte kuona karusha kombora lipi na litakuacha hoi...

Tunamuelewa sana tu,tena ngoja nimtafute uwiiiii tokea jana sijaingia insta....jamaa ni hatari
 
Bikira_wa_kisukuma,make sure unaandika hivihivi,alafu ulete mrejesho eeeh?

Maana nina bonge la umbea kuhusu huyo mtu, jina lake halisi ni gevin sijui? Ngoja nichek halafu nirud binamu,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…