Igunga Moja
Senior Member
- Aug 5, 2014
- 182
- 23
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kaka mtafutaji kwakweli,anajua nini anafanya,pia si mchoyo wa mawazo,ushauri..huyu ndo seth!!!
Duh....such innocent face....kwa nini kajiita bikra jamani?
Yupo fb anatumia Sent de Jesus Giovinni. Nimeona timeline yake
Hilo jina katumia makusudi ili kuvuta watu,mambo ya marketing hayo,asingetumia hilo jina hata humu asingeandikwasipo Fb...... Ila jina lake ndio utata
Le mutuz si ndo type zile zile kwanza atoe sababu zakumkimbia mzazi mwenzie(mama wa kizungu) kule boston nakurudi bongo...kaacha watoto kule...
Ni kaka mtafutaji kwakweli,anajua nini anafanya,pia si mchoyo wa mawazo,ushauri..huyu ndo seth!!!
Hilo jina katumia makusudi ili kuvuta watu,mambo ya marketing hayo,asingetumia hilo jina hata humu asingeandikwa
Hana kitu hapo anasphiter zimeishalegezwa kitambo utaloa choo tu hapo tundu sha panuliwa upepo ukija linalia buuuuuu
Mimi naona kosa alilolifanya ni kuandika jina la bikra wa kisukuma,,,, tuwe na mtazamo unaojenga. Kama kuna rafiki yake humu amwambie abadirishe hilo jina na ikibidi fb abadirishe jina aweke la kwake kabisa. Simple like that
Hilo jina katumia makusudi ili kuvuta watu,mambo ya marketing hayo,asingetumia hilo jina hata humu asingeandikwa
- Yaani mtu kama mimi mwenye akili mingi na timamu nimchukulie serious mtu anayetumia ID ya bandia si nitakuwa nimepungukiwa nakuchukulia kama ulivyo kwenye picha ya profile yako cause inakusema vizuri ni mtu wa aina gani hahahahahahaha
Le Mutuz
For promotional use Only...na hii thread itafanya apate followers zaidi
Hilo ndo jambo pekee Muhimu.nliwahi mwambia mshkaji angu am follow mana huwa anachekesha sana kwa post zake hasa fact za mahusiano, akagoma akijua sio mtu mzuri ila baada ya kumfatilia aliona kweli jamaa kichwa akanambia angekuwa anamfahamu angemshauri abadili jina tu..
For promotional use Only...na hii thread itafanya apate followers zaidi
Mimi kila nikiingia insta cha kwanza nimtafute Seth...ana vituko sana jamani
Ngoja na mimi nikamfolow , anatumia jina gan insta
Kwa wanaomfollow wanaelewa vp kaiteka mioyo yao. Huezi pita insta usitafte kuona karusha kombora lipi na litakuacha hoi...
Bikira_wa_kisukuma,make sure unaandika hivihivi,alafu ulete mrejesho eeeh?
Maana nina bonge la umbea kuhusu huyo mtu, jina lake halisi ni gevin sijui? Ngoja nichek halafu nirud binamu,