Bikra_wa_kisukuma

Bikra_wa_kisukuma

Status
Not open for further replies.

Miss Bantu

Senior Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
153
Reaction score
141
Nauhakika humu siwezi kosa kitu, hivi huyu mkaka ni nani hasa maana namwona sana kwenye social media na mastaa kibao wanampata.

what is he doing for living?

Umaarufu wake (kidogo) ni kwa ajiri ya kipi?

Ni kweli si ridhiki au wanamsingizia.

NB
kuna member kwenye hili jukwaa namfananisha naye sana, sijui ni yeye.
 
Upuuzi mtupu...kawananga JANA kuwa mnaanika TUPU zenu ndo mmehamia huku!!Ptuu
 
Nimesoma nae iringa,tumaini university faculty moja BBA,huyu ni type zakina madinda...amefukuzwa kazi ofisi kibao..airtel,voda,bankM,lafarge..etc so kwasasa ndo amejiajir kwenye social media ana ka website kaka na kila siku ku post ujinga
 
Kwa kifupi ni nani huyooo???

huyo kaka anaitwa Seth de giovan. Instagram anajiita bikra wa kisukuma. Anashona nguo kama kadinda..kutwa kujipendekeza kwa mastaa na wenye hela...uso mzito tu kama wa zito kabwe.kwa kifupi hata haeleweki ni nani na wapi alipoibukia. Watu wanadai eti lakini manake mimi aijaona eti sio riziki
 
hashoni nguo yeye ni dealer anatangaza nguzo za VIKI DESIGN anasaka usupa star kwa nguvu zetu...martin kadinda type,jogoo hapand mtungi
 
maana yangu ni kwamba ana deal na fashion. Ndo maana nikasema anashona kama kadinda (najua kadinda huwa hashoni ni madundi)
 
Ina maana kila anayefanya vituko insta....anakuwa celebrity? Mbona wengine mnawapaisha tu ilihali hata hawastahili!!!
 
Nimesoma nae iringa,tumaini university faculty moja BBA,huyu ni type zakina madinda...amefukuzwa kazi ofisi kibao..airtel,voda,bankM,lafarge..etc so kwasasa ndo amejiajir kwenye social media ana ka website kaka na kila siku ku post ujinga

Iringa napo kuna Big brother Afrika? “BBA“.
 
Aachen roho mbaya, jamaa anatumia social media kibiashara na anafanikiwa...
Ekweli hata mimi jina lake linantatiza na km anasoma hapa ngemshauri alibadili ila sifichi, nakiri anankosha na post zake mwenyewe anaziita darasa bila nin sijui.
Kuna wakati tujifunze kuappreciate...
 
Nimesoma nae iringa,tumaini university faculty moja BBA,huyu ni type zakina madinda...amefukuzwa kazi ofisi kibao..airtel,voda,bankM,lafarge..etc so kwasasa ndo amejiajir kwenye social media ana ka website kaka na kila siku ku post ujinga

Huu nao ni uzushi na haingii akilini MTU afukuzwe kote huku..tatizo kipato
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom