Bikra_wa_kisukuma

Bikra_wa_kisukuma

Status
Not open for further replies.
Kwanza Seth si rizki na wala hajipendekezi kwa watu ila anapendwa na watu kwa his sense of humor..nafahiama nae personally ni mpiganaji na mbunifu..angekua anajipendekeza kwa watu kwani aliku follow au ulimfollow..acheni uzushi kenge nyie!

Em kampe ujumbe wake!! Anaitwa huku jf aje kujibu tuhuma zake...😉
 
Nimesoma nae iringa,tumaini university faculty moja BBA,huyu ni type zakina madinda...amefukuzwa kazi ofisi kibao..airtel,voda,bankM,lafarge..etc so kwasasa ndo amejiajir kwenye social media ana ka website kaka na kila siku ku post ujinga

Mbona insta anasema kafanya kazi for 6 yrs ndo akaamua kucha ili ajiajiri....ndo maana kaanzisha shule bila ada ili watu wajiajiri
 
instagram inazalisha macelebrity daily duh!...sasa huyu anayejadiliwa ndo takataka gani?......humu kila mtu akianzisha uzi wa kutaka kumjua maarufu wa mtaani kwake itakuwa balaa
 
Best ake le mutuz huyo hahahaha.. Naskiaga ni chaklaa ya wapemba
 
Watu mnaroho mbaya ndo maana hata hamfanikiwi,kijana Mwenzenu huyo anakuwa maarufu kwa vichekesho vyake naaneno yake ya kuhamasisha watu kijiari,anapiga pesa ya kutosha,ndo wanao andaa instagramm party hata hamshangai kwann yy na sio ww?achen roho mbaya kwa kuwazushiem msiowapenda mambo mabaya,kama na nyie mnataka umaarufu komaen na kile mnachokiamin miwe maarufu.....
Note:sio kila mtu kazaliwa awe maarufu
 
Anapiga pesa ndefu?? We unamjua vizuri au unadanganywa na zile post zake za kule istagram?? Tafuta wanaomjua vizuri wakwambie sio unakurupuka tu..
 
huyo kaka anaitwa Seth de giovan. Instagram anajiita bikra wa kisukuma. Anashona nguo kama kadinda..kutwa kujipendekeza kwa mastaa na wenye hela...uso mzito tu kama wa zito kabwe.kwa kifupi hata haeleweki ni nani na wapi alipoibukia. Watu wanadai eti lakini manake mimi aijaona eti sio riziki

Hahahha,zitto kabwe..
 
nimesoma nae pia...sio kwamba ni chakla nooo! ila anajipenda sana na walikuwa na kundi flani wanaimba gospel chuo! acheni uzushi mscheeeeeew

Nyie akina dada ndo zenu kutetea mashoga.. Mi namjua anayemtafuna au mnataka mpaka mletewe video
 
Namjua vizur sana huyu jamaa nilisoma nae tambaza , jamaa yupo vizur sana kwenye ubunifu na anatumia fursa ipasavyo na alikuwa na gal friend wakati tupo tambaza high school kuhusu kuacha kazi, hilo naona ni kwa sababu ya masilahi and the gay yupo vizur sana kwenye kuongea amini ukiingia nae kwenye interview anajua sana kujiuza , hilo la ushoga silijui
 
unakubali kama jamaa bwabwa na hapohapo unajitia hujui...huyo mnayemzungumzia simjui ila kwa jinsi watetezi wake wanavyotetea na inakuaje mtoto wa kiume ujiite bikra?!...huyo dogo sijui mzee atakuwa bwabwa tu
 
Nyie akina dada ndo zenu kutetea mashoga.. Mi namjua anayemtafuna au mnataka mpaka mletewe video
mmefanya nitafute picha yake!...asilimia zaidi ya 90% jamaa atakuwa ubweche!...haiwezi ikawa coincidence ajiite bikra mtoto wa kiume, halafu ukimuangalia vizuri kafanana na martin kadinda na hapohapo kafanana na bilal mashauzi!....ukaribu wake na wadada na jinsi alivyokuwa ana sura ngumu si bure!angekuwa handsome ningejua labda anawachapa nao
 
namjua vizur sana huyu jamaa nilisoma nae tambaza , jamaa yupo vizur sana kwenye ubunifu na anatumia fursa ipasavyo na alikuwa na gal friend wakati tupo tambaza high school kuhusu kuacha kazi, hilo naona ni kwa sababu ya masilahi and the ""gay""" yupo vizur sana kwenye kuongea amini ukiingia nae kwenye interview anajua sana kujiuza , hilo la """ushoga silijui"""

koh koh koh angalia huko nilikoweka """"
 
mmefanya nitafute picha yake!...asilimia zaidi ya 90% jamaa atakuwa ubweche!...haiwezi ikawa coincidence ajiite bikra mtoto wa kiume, halafu ukimuangalia vizuri kafanana na martin kadinda na hapohapo kafanana na bilal mashauzi!....ukaribu wake na wadada na jinsi alivyokuwa ana sura ngumu si bure!angekuwa handsome ningejua labda anawachapa nao

hahahahahah, namjua long time sana huyu, ila leo hili jina lake

'Bikra wa kisukuma'

ndio naanza kulielewa
 
Watu mnaroho mbaya ndo maana hata hamfanikiwi,kijana Mwenzenu huyo anakuwa maarufu kwa vichekesho vyake naaneno yake ya kuhamasisha watu kijiari,anapiga pesa ya kutosha,ndo wanao andaa
UTAKUWA MSAMBAA WEWE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom