Bikra_wa_kisukuma

Bikra_wa_kisukuma

Status
Not open for further replies.
We jamaaa huwa unaaakil basi tu huwa huwez jiposition

- Wala sio kweli ninazo akili nyingi sana ndio maana ninapokutana na wenye akili wanananikubali bila tatizo na we make deals ndio maana sasa hivi nipo bandarini doing what akili mingi is supposed to do, akili ninazo nyingi sana na ninazitumia vizuri sana ndio maana in 3 years tu nilizokaa bongo sio sawa na miaka 30 niliyokaa majuu, kule nilijifunza kuwa na maakili mengi sana ambayo nisingekuwa nayo kama nisingeenda kule!!

Le Mutuz
 
Le Mutuz Leo umeongea points za msingi sana...heshma kwako mkuu ..... yan kijana akifanikiwa tu watu watamzushia ni gay....childish minds

- Hawa wanaozushia wengine lazima wao ndio ma gay ndio maana inakuwa rahisi kuwajua wengine, ndio maana ninasema academically it make a lot of sense ukisema flani ni gay kwa sababu na wewe ni gay huwa mnakutana kwenye ugay, that makes a lot of sense!!

Le Mutuz
 
- Sasa mmejuaje kuwa ni Star wa Instagram na wewe umewaachia mademu wewe una demu wewe? kazi kila siku kuandika hate tu humu roho ya kuwa na demu utaitoa wapi mimi sijawahi kuona umeandika positive humu JF kila siku matusi tu tizama hata picha yako kwenye profile ina refelect akili zako maan, pole sana hii Dunia ni ya watu wenye akili na wanaojua kuzitumia sio mizigo mizigo binadama wengine humu you can tell ni mizigo hata huko kwenu le mburulazzz, Instagram anaingia mpaka Rais wa Dunia Obama itakuwa wewe le mburulazzz?

Le Mutuz

relax kid !

Uyo jamaaa simjui ndio namwona sasa hivi hapa, kuna tatizo kwa hilo ?

Instagram sina time napo nimewaachia mademu zangu, kuna tatizo kwa hilo?

Nimekuomba umkaribishe baada ya kutuambia ni star wa social media na ilihali jf hatumjui, kuna tatizo kwa hilo?

Makelele yote yametoka wapi hayo?
Au umechukulia personal hahaha !
 
- Yaani mtu kama mimi mwenye akili mingi na timamu nimchukulie serious mtu anayetumia ID ya bandia si nitakuwa nimepungukiwa nakuchukulia kama ulivyo kwenye picha ya profile yako cause inakusema vizuri ni mtu wa aina gani hahahahahahaha

Le Mutuz
 
- Kijana mdogo msomi aliyetokea kwenye maisha ya wazazi wa kawaida, nimekutana naye kwa mara ya kwanza nilipokuwa nafanya Instagram Party ana followers wengi sana kwenye Insta so tukaunganisha nguvu na kufanya the best Insta Party ever in bongo, Walikuja watu 6000, ilikuwa ni a history pamoja na a record.

- Wiki mbili zilizopita alinialika kuhudhuria siku ya kumbu kumbu ya kifo cha mama yake mzazi miaka 12 iliyopita nilienda mpaka home kwa baba yake ni na Another star Mc Pilipili, tukajumuika na familia yake kumuombea mama yake baba yake was a very humble man kule Chuo Kikuu changanyikeni,

- Ni kijana mbishi wa kutafuta maisha na amegundua kwamba Social MEdia ni best tool ya kutafutia pesa through umaarufu he is a Star unakuwa Star unapoweza kufikia kulipwa for your appearance majuzi kwenye nyama choma aliweka banda lake la Insta, mimi na MC Pilipili tulienda kumpa support ya kupiga picha na clients wake he made big money ile siku,

- Maskini anapotaka kuwaacha masikini wenzake kwenye umasikini huwa wana sababu nyingi sana za kutetea kubaki kwao kwenye umasikini na siku hizi Tanzania njia rahisi ya kutetea ukilaza wa kubakia masikini kwa kijana yoyote mwenye elimu ni kukimbilia Social Media na kuzusha kuwa masikini anayetaka kuwaacha kwenye umasikini ni Gay, so low so foolish! so childish!

- Lakini ukweli ni kwamba ni lazima uwe gay kujua wengine wote wanaokuzidi maisha na gay, sasa next time sema hivi wewe ni gay ndio manaa unajua flani ni gay, it will make a lot of sense kuliko kujaribu kuchafua majina ya watu bure, watuwazima na akili timammu badala ya kutumia mitandao kutafuta pesa basi hata umaarufu unakalia kurusha maneno ya chooni, I mean ndio maana wenye pesa wataongezewa tu na wasiokuwa nazo watazidi kutokuwa nazo,

- The kid is smart, the kid is A star na the kid is making money kwa kutumia mitandao ya kijamii, ma gay ndio kazi ya kulalamika ukisoma vizuri humu you can see very clear kwamba hata the kid humujui ila anakukarea kwa sababu amekuacha kwenye umasikini, nasema hivi wale wote mnaoita wanaowazidi kimaisha kuwa ni ma gay, for sure nyie ndio ma gay kwanza kubalini hilo kwanza, ok!

Le Mutuz

mwanaume unajiita bikara unategemea watu wakuchuliaje? Na mavazi yake ni yake yakina kadinda yani rangi kibao mara njano,kijan,purple yan unaeza sema rainbow
 
- Sasa mmejuaje kuwa ni Star wa Instagram na wewe umewaachia mademu wewe una demu wewe? kazi kila siku kuandika hate tu humu roho ya kuwa na demu utaitoa wapi mimi sijawahi kuona umeandika positive humu JF kila siku matusi tu tizama hata picha yako kwenye profile ina refelect akili zako maan, pole sana hii Dunia ni ya watu wenye akili na wanaojua kuzitumia sio mizigo mizigo binadama wengine humu you can tell ni mizigo hata huko kwenu le mburulazzz, Instagram anaingia mpaka Rais wa Dunia Obama itakuwa wewe le mburulazzz?

Le Mutuz

Hahahaaaaa uwiiiiii asante le mutuuuuuz
 
Jamaa ni shoga na anayepiga namjua vizuri anakaa pale makonde karibia na kumbi za sunset haina haja ya kumtaja jina.. Tumuonee wivu kwa kipi hasa?? Kama ni wivu basi tungemzushia Patrick Ngowi ambae hadi fobres wanamjua.. Huyo muuza nyama tumuonee wivu si ni dhambi hiyo..??
 
- Yaani mtu kama mimi mwenye akili mingi na timamu nimchukulie serious mtu anayetumia ID ya bandia si nitakuwa nimepungukiwa nakuchukulia kama ulivyo kwenye picha ya profile yako cause inakusema vizuri ni mtu wa aina gani hahahahahahaha

Le Mutuz

Umesahau kaka le Mutuz,pia ID mtu anayotumia humu inam describe alivyo
All in all leo umetisha kaka,ungekua madame ningekua mmbeba pochi wako ila wewe ni sir so nitakua mbeba wallet yako kuanzia leo!!!
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukimbia watoto wake na kumuachia mkewe amtunzie wewe ni mental case.

Btw hata Field Marshal ni ID bandia.
 
Umesahau kaka le Mutuz,pia ID mtu anayotumia humu inam describe alivyo
All in all leo umetisha kaka,ungekua madame ningekua mmbeba pochi wako ila wewe ni sir so nitakua mbeba wallet yako kuanzia leo!!!

Hacha kushobokea wanaume mitandaoni, kawauzie Meeda mpapa huo. Umu wa kukutaka hakuna.
 
Hacha kushobokea wanaume mitandaoni, kawauzie Meeda mpapa huo. Umu wa kukutaka hakuna.

Wakiitwa wanaume na wewe utatoka???pita hivi usiniharibie usiku wangu pimbi wewe....sio kila mwanamke anajiuza,ulitaka nikusifie wewe na utumbo wako kama ID yako inavyosema???
 
Hacha kushobokea wanaume mitandaoni, kawauzie Meeda mpapa huo. Umu wa kukutaka hakuna.

Mshamba mkubwa,hata kuandika vizuri hujui...eti hacha...rudi kwanza darasa la kwanza kwa mwalimu wako wa irabu ndio uje kushindana na mimi....
 
Wakiitwa wanaume na wewe utatoka???pita hivi usiniharibie usiku wangu pimbi wewe....sio kila mwanamke anajiuza,ulitaka nikusifie wewe na utumbo wako kama ID yako inavyosema???

Tena mimi ndio usinishobokee kabisa, sitoki na wauza papa. Hiki kitabia chako cha kutaka wanaume mitandaoni kitakucost.
 
Tena mimi ndio usinishobokee kabisa, sitoki na wauza papa. Hiki kitabia chako cha kutaka wanaume mitandaoni kitakucost.

Wewe babu huna kodi nini?inaonekana mafao yako yaliishia huko kwa wauza papa sasa unakuja kuniletea stress zako hapa...jipange ulipe kodi ya mwenye nyumba hapo tandale unakoishi
 
Wewe mjanja unayewinda wanaume jf ?

Acha kujipendekeza kwangu wewe,wanaume kama akina Matola wametulia huko wewe babu bwabwa unashindana na wanawake....
 
Last edited by a moderator:
Acha kujipendekeza kwangu wewe,wanaume kama akina Matola wametulia huko wewe babu bwabwa unashindana na wanawake....

Ona sasa kila mwanaume unamshobokea umuuzie.

Btw mimi sishindani na wewe hapa mimi najitahidi kukupiga kibuti sema unaning'ang'ania ata hautaki kukubali matokeo kuwa sio mnunuzi ........

ok I'm out, biashara njema !
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom