Yap mkuu okwinyo ameshatua darHongera Malinzi na timu yako kuamua kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi wa ligi, vinginevyo TUNGEKUA tunasubiri mshidi kutoka FIFA hadi leo. Simba tangulizeni maslahi ya Taifa kwanza. Mpira wa miguu unachezwa uwanjani sio mezani. Tatizo la Simba ni uongozi sio TFF, FIFA, waamuzi wala wachezaji.
Viroba si vimekatazwa? Wewe mwenzetu unavipata wapi? Maana ulichoandika kina reflect ulichokunywaHongera Malinzi na timu yako kuamua kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi wa ligi, vinginevyo TUNGEKUA tunasubiri mshidi kutoka FIFA hadi leo. Simba tangulizeni maslahi ya Taifa kwanza. Mpira wa miguu unachezwa uwanjani sio mezani. Tatizo la Simba ni uongozi sio TFF, FIFA, waamuzi wala wachezaji.
Kwa hiyo mpaka leo unajua FIFA hawajarudisha majibu.?Wewe unaonaje? Tungeendelea kusubiri maamuzi ya FIFA hadi leo kama Simba na Al Maamri walivyokuwa wanataka?
Hongera Malinzi na timu yako kuamua kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi wa ligi, vinginevyo tungekuwa tunasubiri mshidi kutoka FIFA hadi leo.
Simba tangulizeni maslahi ya Taifa kwanza. Mpira wa miguu unachezwa uwanjani sio mezani. Tatizo la Simba ni uongozi sio TFF, FIFA, waamuzi wala wachezaji.
Kazi ipoTutangazie basi walichojibu
Hongera Malinzi na timu yako kuamua kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi wa ligi, vinginevyo tungekuwa tunasubiri mshidi kutoka FIFA hadi leo.
Simba tangulizeni maslahi ya Taifa kwanza. Mpira wa miguu unachezwa uwanjani sio mezani. Tatizo la Simba ni uongozi sio TFF, FIFA, waamuzi wala wachezaji.
Taarifa hii ilivyokuja kwa njia ya mtandao kuna watu walii disown na kudai wanangojea ya kuletewa kwa dispatch na FIFASoma hii post hapa mkuu. Point 3 za Simba hatimaye FIFA wamekata mzizi wa fitna