Bila busara za TFF tungekuwa bado tunasubiri mshindi wa VPL

Bila busara za TFF tungekuwa bado tunasubiri mshindi wa VPL

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hongera Malinzi na timu yako kuamua kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi wa ligi, vinginevyo tungekuwa tunasubiri mshidi kutoka FIFA hadi leo.

Simba tangulizeni maslahi ya Taifa kwanza. Mpira wa miguu unachezwa uwanjani sio mezani. Tatizo la Simba ni uongozi sio TFF, FIFA, waamuzi wala wachezaji.
 
Hongera Malinzi na timu yako kuamua kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi wa ligi, vinginevyo TUNGEKUA tunasubiri mshidi kutoka FIFA hadi leo. Simba tangulizeni maslahi ya Taifa kwanza. Mpira wa miguu unachezwa uwanjani sio mezani. Tatizo la Simba ni uongozi sio TFF, FIFA, waamuzi wala wachezaji.
Yap mkuu okwinyo ameshatua dar
 
Viroba si vimekatazwa? Wewe mwenzetu unavipata wapi? Maana ulichoandika kina reflect ulichokunywa
 
Wewe unaonaje? Tungeendelea kusubiri maamuzi ya FIFA hadi leo kama Simba na Al Maamri walivyokuwa wanataka?
Kwa hiyo mpaka leo unajua FIFA hawajarudisha majibu.?
 
Back
Top Bottom