Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

Wasipotangaza tunasema wanaogopa mapato hakuna na wakitangaza tunasema data za uongo. Daah
Achana na wapuuzi hao wazee wa legacy wanaona wanafunikwa so chuki zimewajaa..

Taarifa za Mama ni qourteely sio monthly
 
Nampenda mama Sana Tu. Lakini wewe inaonesha upo kwenye kitengo cha propaganda kutangaza mazuri ya mama. Ujinga huo wa miluzi mingi ndio nyie machawa mnani bore. Let mama do her things wenyewe tunaompenda tutaona.
Sio mje na propaganda zenyu za uchawa pro max hapa mtaacha hata tunaempenda tumchukie Sasa. Actions speak louder than words zenu za pale Lumumba.
By the way this time around I'm happy I'm writing my opinion freely Lumumba nyie hamtaweza kunikata kucha sio km zile enzi zenu za buku Saba Saba. Sema I have impression kitengo chenyu cha buku Saba mshakirudisha kwa mama na mmepewa mje mumsifie sifie. This awamu hatutaki huo upuuzi wenyu.
Kwa hiyo kutangaza mazuri ya mama wewe unateseka nini? 😝😝

Ukitaka yasitangazwe au? Jinga kabisa.

Tangaza mabaya basi ufurahi.
 
Data zilikuwa zonapikwa na Mwendazake zake sio mama..

Takwimu za makusanyo umepewa ,wapike Ili wavumbue nini?

Mara nyingi makosa huwa yapo kutokana na uzembe wa coordination wa taasisi za.serikali..Unaweza Kuta Kadogosa kampa progress report ya mradi tofauti na ya mkandarasi au consultant .
Hivi kati ya mifano ya data za kupikwa nilizotaja hapo, Kuna data yeyote inayohusika na kipindi Cha mwenda zake?

Au nawewe ndo wale Wana kwaya wa mapambio ya siasa za maji taka.
 
Wivu gani? Amefariki yeye nyie misukule yake si mpo? Kenge wewe lipeni Kodi.
kodi nan kasema halipi we endelea kuwa femenist kwa ujinga wako angalia inflation huko kwani nan angeshindwa kama angeamua kukaba the lowest level income earners

endelea na movement zako za kusapot wanawake wenzio umetuma nn hapo huu mchanganuo hata hujui unaonyesha mafuta tu watu wanakunywa mafuta
 
Kwa hiyo kutangaza mazuri ya mama wewe unateseka nini? 😝😝

Ukitaka yasitangazwe au? Jinga kabisa.

Tangaza mabaya basi ufurahi.
huna hyo elimu ya kuchanganua hueleweki kama sigara nyota tuliza kizibo😅😅😅😅😅😅😅
 
Hizo 1.9T kakusanya kutoka wapi, au ni zile misaada alopewa na beberu baada ya kukubali chanjo?. Muda ni hakimu mwema, let's watch and see.
Muda utawaumbua nyie..Mnyapara wenu alipiga bil.600 za msaada na mkopo kwa ajili ya uviko 19,Una habari baba au Kazi yako kuimba pambio tuu?

Mama sio mjinga kama mtu wenu ,She is business oriented..Na kwa taarifa yako mwakani ndio makusanyo yatakuwa mara dufu ..

Unaona hizi miradi hapa? 👇

Screenshot_20211004-144019.png

Screenshot_20211004-144034.png

Screenshot_20210927-075956.png

Screenshot_20210923-135640.png

Screenshot_20210923-135618.png

Screenshot_20210921-102138.png

Screenshot_20210920-080107.png

Screenshot_20210920-075003.png
 
Hivi kati ya mifano ya data za kupikwa nilizotaja hapo, Kuna data yeyote inayohusika na kipindi Cha mwenda zake?

Au nawewe ndo wale Wana kwaya wa mapambio ya siasa za maji taka.
achana nae shoga huyo ana uchungu yale makabila yao yalikuwa yanavujisha mitihani walitakwma kipind cha jiwe na kuchomekana serikalini then kusifia ile mikoa yao ina elimu kumbe wezi wa mitihani na walevi wakubwa sasa analeta shobo na mtu pwani
 
kodi nan kasema halipi we endelea kuwa femenist kwa ujinga wako angalia inflation huko kwani nan angeshindwa kama angeamua kukaba the lowest level income earners

endelea na movement zako za kusapot wanawake wenzio umetuma nn hapo huu mchanganuo hata hujui unaonyesha mafuta tu watu wanakunywa mafuta
Wakati mnapora mlijua ndio kukuza uchumi? Kitambulicho cha machinga mlikuwa mnawauzia high income earners au? 😀😀

Hao lowest income earners Kwani wanaenda kukabwa walipe?

Inflation imefanya nini? Any inflation with single digit Haina shida kwenye uchumi na ni nzuri Ili uchumi ukue..

Ulivyo mjinga umekaririshwa kwamba inflation ni mbaya ,pole Sana stagnant prices au inflation ya below 5% ni ishara ya uchumi uliodumaa..

Rudi class hujui kitu,huoni mtaani kwamba kumechangamka?
 
Sasa kupanda bei kunahusianaje na makusanyo? Jibu rahisi ni kwamba kupanda bei kwa vitu ni alama ya kukua kwa uchumi kwamba demand ipo na wafanyabiashara watapata faida..

Ukiona bei ziko stagnant ujue uchumi uko dormant,alafu huu ni uchumi wa kati kwa hiyo gharama za maisha huwa zinaenda juu.

Hata hivyo mafuta yamepanda.sana soko la Dunia ,hukuona majuzi yameadimika Uingereza? [emoji116]

View attachment 1962618
Umeona nimeongelea fuel oil Mimi? Na ni lini fuel oil imepanda Tanzania?

Mimi naongelea mafuta ya kupikia na siyo hizo fuel oil.

Alfu Nani alikudanganya kupanda bei kwa vitu ndo dalili za kukua kiuchumi?

Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi ipi iliyo na uchumi wa juu ya mwenzake?

Mbona Kenya bidhaa tuna nunua kwa Bei ya chini kuliko Tanzania?

Hakuna uhusiano wowote kati ya mfumuko wa Bei na kupanda kwa uchumi.
 
huna hyo elimu ya kuchanganua hueleweki kama sigara nyota tuliza kizibo😅😅😅😅😅😅😅
Mtakufa kwa pressure,mama is here till 2030 and beyond..

Endelea kujichekesha Ili ujifariji ila sisi tunachanja mbuga kama hivi 👇

Screenshot_20211004-144019.png

Screenshot_20211004-144034.png
 
Wakati mnapora mlijua ndio kukuza uchumi? Kitambulicho cha machinga mlikuwa mnawauzia high income earners au? 😀😀

Hao lowest income earners Kwani wanaenda kukabwa walipe?

Inflation imefanya nini? Any inflation with single digit Haina shida kwenye uchumi na ni nzuri Ili uchumi ukue..

Ulivyo mjinga umekaririshwa kwamba inflation ni mbaya ,pole Sana stagnant prices au inflation ya below 5% ni ishara ya uchumi uliodumaa..

Rudi class hujui kitu,huoni mtaani kwamba kumechangamka?
toa ujinga wako hapa kamikomoa jiwe kanda nzima mlinyooka😹😹😹😹😹😹
 
Umeona nimeongelea fuel oil Mimi? Na ni lini fuel oil imepanda Tanzania?

Mimi naongelea mafuta ya kupikia na siyo hizo fuel oil.

Alfu Nani alikudanganya kupanda bei kwa vitu ndo dalili za kukua kiuchumi?

Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi ipi iliyo na uchumi wa juu ya mwenzake?

Mbona Kenya bidhaa tuna nunua kwa Bei ya chini kuliko Tanzania?

Hakuna uhusiano wowote kati ya mfumuko wa Bei na kupanda kwa uchumi.
Unabwabwaja tuu ,jibu la mafuta ya kupikia hili hapa chini,badala ya kulia Lia changamkia fursa.👇

IMG-20210927-WA0003.jpg
 
Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,​

==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,

Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "

Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,

Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,

Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.

#Kazi iendelee kwa kasi & Weledi zaidi

Be blessed & Happy Sunday
=============================

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1961007
Twende na Samia Hadi 2045
 
Huku mfumuko wa bei (inflation ) ukiendelea kuwaaadhibu watanzania , nimeangalia september treasury bills za BOT watu wameacha hata kuzinunua sasa maana ni hasara tupu kwa jinsi inflation inavyopiga, yield 3.6 wakati inflation rate 3.8 maana yake unapoteza pesa, hakuna mtu anataka shilingi ya TZ wanunuzi wote na commercial banks wamekimbia, wanachapisha pesa bila uzalishaji wa maana na mikodi kibao, mafuriko ya pesa zisizo na thamani mtaaani yameanza sasa ndio maana wanaonekana wanakusanya sana
 
Back
Top Bottom