Bila Diamond, Rayvanny hana ubunifu

Bila Diamond, Rayvanny hana ubunifu

Vanny boy ni mwanamuziki wa kawaida Sana na asijaribu kutoka WCB maana ndio utakuwa mwisho wake. Hana maajabu!
 
Uliza vizuri Rayvann n mtunzi mzuri sana acha uhater
 
Ametunga nn bana!!!... hayo maremix!??? Bora hata ungesema ana kasauti lakini kwenye utunzi ni ujinga tu,hana ubunifu
Uliza vizuri Rayvann n mtunzi mzuri sana acha uhater
 
Rayvanny hana ubunifu wowote, hata mistari yake ni ya kitoto mnoo ndio maana muziki wake haukui.
Msanii gani kutoka Tanzania yoyote including Simba amewahi kubeba tuzo ya BET aliyonayo Vanny boy?
 
Unasema hata nani haoni ndani!! Acha masihara broh vany kwa kondeboy bdo sana
nilichogundua ni kuwa jamaa ni shabiki mkubwa wa muziki wa kubang, sasa umeona nyimbo zinazo trend za vanny boy sahv ni za soft melody, vinyimbo flan vya kubembeleza na kuliza unaanza kusema sijui hajui muziki... hv pale WCB ukimtoa mbosso nan anamfikia vanny kwa utunzi? hata konde haoni ndani...
we endelea kubang na "gimme dat" km unamkubal katika miondoko hiyo, tuache si na "i love you" zetu, tukitendwa kuna "naogopa" ya kutufariji
 
Back
Top Bottom