Bila Diamond, Rayvanny hana ubunifu

Bila Diamond, Rayvanny hana ubunifu

Zipo geto njoo usikilize,soma uzi vizuri kipofu ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Geto = Gheto
Nyie madogo mna taabu kwelikweli, kumbe unaishi gheto alafu unaandika mapumbapumba hapa shenzy kabisa.
.
Nisome vizuri nini huu ushubwada wako hapa chini?
Mwalimu wako nani huyo alokufunza swali linawekewa question mark tatu?
Ametunga nn bana!!!... hayo maremix!??? Bora hata ungesema ana kasauti lakini kwenye utunzi ni ujinga tu,hana ubunifu
 
Back
Top Bottom