Bila Diamond, Rayvanny hana ubunifu

Vanny boy ni mwanamuziki wa kawaida Sana na asijaribu kutoka WCB maana ndio utakuwa mwisho wake. Hana maajabu!
 
Moja ya wasanii bora kabisa Tanzania, Vany boy yumo. (Kama unaujua muziki mzuri)
 
Uliza vizuri Rayvann n mtunzi mzuri sana acha uhater
 
Ametunga nn bana!!!... hayo maremix!??? Bora hata ungesema ana kasauti lakini kwenye utunzi ni ujinga tu,hana ubunifu
Uliza vizuri Rayvann n mtunzi mzuri sana acha uhater
 
Rayvanny hana ubunifu wowote, hata mistari yake ni ya kitoto mnoo ndio maana muziki wake haukui.
Msanii gani kutoka Tanzania yoyote including Simba amewahi kubeba tuzo ya BET aliyonayo Vanny boy?
 
Unasema hata nani haoni ndani!! Acha masihara broh vany kwa kondeboy bdo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…