Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea ukweli mtupu kabisa, na sio kwamba babu na bibi zetu waliwapokea wazungu kiroho safi, kuna maeneo vilipigwa vita sio mchezo. Vita vya majimaji ni mfano mmojawapo. Na inasemekana babu na bibi zetu wengine walibatizwa kwa upanga na risasi.Habari wakuu.
Nimeekaa na kuwaza na kuwazua hizi dini zimeletwa tumuogope MUNGU au tumpende MUNGU?
Miaka ya tangu na tangu kulikuwa hakuna dini ila tuliamini kwamba kuna mbaye anaongoza hii dunia na vilinyo ndani yake.Tulitumia miti shamba kupona maradhi.
Je ,Mababu zetu na mabibi zetu hawakuona ubaya wa kuwapokea hivi viumbe vya kizungu?
Ona mashekhe na mapadri wanaishi maisha mazuri ya kujidai na familia yao kwajili ya sadaka zetu.
Kwanini sisi wenyewe tukiomba bila hizo dini kwa MUNGU mmoja hatuwezi kufanikiwa?
Hawa jamaa wametumia kufuli gani la kutufunga akili hadi mkristo akisemwa Yesu anakasirika sana na vilevile mwislamu akisemwa Mtume Muhammad anakasirika....kuna siri gani wametuwekea kwenye mioyo yetu.
Mama anadiliki kuuza shamba akatoe sadaka...alafu badae anaenda kukodishwa tena hilo shamba kwajili ya kujipatia kipato cha kulisha familia.
Viongozi hao wa dini wanajenga mahoteli na kisha waaenda wazee wa kuzini walevi na kadhalika....mbaya zaidi hawataki wajulikane kwamba wao ndio wamiliki wa hizo hotel.
Asee tunapigwa sana pesa na hawa jamaa..
Kwani tukiomba kwajina la MUNGU mmoja kuna shida gani?
NB: Napenda kuelekezwa kama nimekosea.
🤣🤣🤣hii ni FACT kabisa, umeongea hoja makini sana!Dini zipo kisiasa tu.
Ni njia ya wajanja wachache kushika akili za wajinga wengi, zombification.
Hata hiyo miungu inayohubiriwa na hizo dini ni ujinga mtupu?
Hawa watu walituvuruga kweli kweli kwa kauli mbiu zao potofu.Habari wakuu.
Nimeekaa na kuwaza na kuwazua hizi dini zimeletwa tumuogope MUNGU au tumpende MUNGU?
Miaka ya tangu na tangu kulikuwa hakuna dini ila tuliamini kwamba kuna mbaye anaongoza hii dunia na vilinyo ndani yake.Tulitumia miti shamba kupona maradhi.
Je ,Mababu zetu na mabibi zetu hawakuona ubaya wa kuwapokea hivi viumbe vya kizungu?
Ona mashekhe na mapadri wanaishi maisha mazuri ya kujidai na familia yao kwajili ya sadaka zetu.
Kwanini sisi wenyewe tukiomba bila hizo dini kwa MUNGU mmoja hatuwezi kufanikiwa?
Hawa jamaa wametumia kufuli gani la kutufunga akili hadi mkristo akisemwa Yesu anakasirika sana na vilevile mwislamu akisemwa Mtume Muhammad anakasirika....kuna siri gani wametuwekea kwenye mioyo yetu.
Mama anadiliki kuuza shamba akatoe sadaka...alafu badae anaenda kukodishwa tena hilo shamba kwajili ya kujipatia kipato cha kulisha familia.
Viongozi hao wa dini wanajenga mahoteli na kisha waaenda wazee wa kuzini walevi na kadhalika....mbaya zaidi hawataki wajulikane kwamba wao ndio wamiliki wa hizo hotel.
Asee tunapigwa sana pesa na hawa jamaa..
Kwani tukiomba kwajina la MUNGU mmoja kuna shida gani?
NB: Napenda kuelekezwa kama nimekosea.
Utasikia kijana naoa unatafuta kupotea,DINI
Moja ya vitu vilivyoipumbaza Afrika dini ni mojawapo,dini imeleta ubaguzi,leo hii Mtanzania kuoa ama kuolewa na Mtanzania mwenzake anawekewa kigezo cha dini.
Mtanzania mkristo anajiona ni bora kuliko Mtanzania muislamu ama Mtanzania muislamu anajiona ni bora kuliko Mtanzania mkristo cha ajabu unaweza kuta wote ni kabila moja.
Unakuta dini inafundisha kuwa ombaomba kuliko kufanya kazi mwishowe unaambiwa asiefanya kazi asile huu ni zaidi ya upumbavu.
Leo hii ukitaka kujadili kiundani mambo ya dini utaitwa kafiri au mpagani mimi nawaambiaga niiteni tu kafiri lakini sio mniite kondoo.
Kuna watu walimwaga damu zao kwa ajili ya Tanzania hii akina Mtemi Isike,Mtwa Mkwawa,Mtemi Milambo,Kinjeketile Ngwale n.k lakini hata hawatajwi wanatajwa wengine,ngoja nikupe siri moja mtu pekee aliemwaga damu kwa ajili yako ni mama ako mzazi na hakuna mwingine zaidi yake.
Aliekuzaa kazaliwa lakini aliekuumba hakuumbwa hivi mizani ipo sawa hapo au ni riba tu.
TUAMKE.
Dini haina tatizo, Ingekuwa ni tatizo tungeyaona ilipoanzia,mbona wao wapo fresh tu.DINI

Wewe ni dhehebu gani mkuu?Huyo mama anaeuza Shamba akatoe sadaka ni ujinga wake wa kutoyajua maandiko, sema kakutana na wajasiliadini wamempiga.
Hakuna Ukristo nje ya maandiko.
Eti sadaka ya kujimaliza sijui sadaka ya kujiteketeza huu ni wizi kabisa na uongo mkubwa.
Maandiko yanakataa hili utoi sadaka Ili uumie, ukiumia utanung'unika ambapo ni kumkosea MUNGU.
Tutoe kwa moyo na sio kwa shuruti. MUNGU sio masikini.
Toa kwa nia maalumu, toa pasipo kuumia, toa kile unachoweza.
Pana mtume na Nabii wa uongo mmoja alimdalalia mama mjane nyumba ikauzwa KWA milioni 150,pale pale akakata milioni 15 eti fungu la kumi then akamkopa huyo mjane milioni 3 eti akamilishe mambo ya kanisa. Alipopata hizo pesa kesho kaingia showroom kavuta toyota crown ya milioni 17.
Huu ni wizi mkubwa kabisa. Wanawachezea Sana wajinga.
Dini ya ukristo na uislam zimesaidia kuwafanya waafrika kuwa wastaarabu.Manake Babu na bibi zetu walikuwa hawana maarifa makubwa na pia hawakuwa na standard yoyote,, walikuwa hawajui nguo ni nini,sabuni ni nini,,usafi ni nini,,kuzika ni nini,,kuwa na jamii Moja ili pamoja ni nini,, kusoma,,elimu,,teknolijia hawakujua.Tulikuwa kama wabarbaig au wahadzabe.Na ushirikina ulikuwa mwingi kwa sababu ya kuabudu miti na milima.Mimi nina MUNGU ambaye ndio hunipa punzi na baraka za hapa duniani...
Wewe kama huna MUNGU ni sawa pia.
Misri ipo wapi mkuu?Dini ya ukristo na uislam zimesaidia kuwafanya waafrika kuwa wastaarabu.Manake Babu na bibi zetu walikuwa hawana maarifa makubwa na pia hawakuwa na standard yoyote,, walikuwa hawajui nguo ni nini,sabuni ni nini,,usafi ni nini,,kuzika ni nini,,kuwa na jamii Moja ili pamoja ni nini,, kusoma,,elimu,,teknolijia hawakujua.Tulikuwa kama wabarbaig au wahadzabe.Na ushirikina ulikuwa mwingi kwa sababu ya kuabudu miti na milima.