Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wewe ni mrundi wacha kujivika utanzaniaMimi ni mnyalu orijino kutoka Iringa.
Alafu ndio Mange alivyo waaminisha kwamba kila mtu ni mrundi ila chadema pekee ndio watz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mrundi wacha kujivika utanzaniaMimi ni mnyalu orijino kutoka Iringa.
Alafu ndio Mange alivyo waaminisha kwamba kila mtu ni mrundi ila chadema pekee ndio watz?
Huyo ni kati ya wakimbizi haramuSi ajabu unakaa kwa shemeji. Hujui hata gharama ya LUKU.
Lazima tuwarudishe kwenu BurundiMimi ni mnyalu orijino kutoka Iringa.
Alafu ndio Mange alivyo waaminisha kwamba kila mtu ni mrundi ila chadema pekee ndio watz?
Pamoja na umasikini ule wa Mkoa wa Tabora, achilia mbali kipato duni cha mkazi mmoja mmoja ,eti bado unakuta mtu anaichagua CCM.? kweli mnakosa mahali pa kutoa hasira zenu ,nendeni mkaiadhibu CCM kwenye Sanduku la Kura.
Kilimo cha Tumbaku Tabora leo kiko wapi..? Mazao ya misitu leo mnanufaikaje nayo,Asali ndiyo usiseme lakini wakazi ni masikini wa vipato.
Iringa hakunaga wanawake malaya malaya na machangu wasio na kaziMimi ni mnyalu orijino kutoka Iringa.
Alafu ndio Mange alivyo waaminisha kwamba kila mtu ni mrundi ila chadema pekee ndio watz?
Bora Mbeya miaka 10 upinzani na Mambo yanasonga vizuri sana,So una maanisha wananchi wa mbeya ni matajiri sababu tu wamemchangua mbunge wa chadema kwa miaka 10?
Mambo gani yanasonga? Budget inapitishwa na wabunge walio wengi wa chama tawala, au unafikiri sugu anajipangia budget mwenyewe?Bora Mbeya miaka 10 upinzani na Mambo yanasonga vizuri sana,
Sasa Tabora tangu Uhuru anzia Tanu Mpaka CCM mnakomaa na chama ambacho hakioni tena umuhimu wenu zaidi ya kuwaletea wasanii majukwaani kwani shida za wananchi ni kusikiliza nyimbo za wasanii.
Labda mtaambulia hao wa tume waliopita bila kupingwaMkipata wabunge 10 mwaka huu mkatambike