Uchaguzi 2020 Bila Dkt. Bashiru kuingilia kinachoendelea Tabora Mjini, Jimbo linakwenda Upinzani

Mimi ni mnyalu orijino kutoka Iringa.

Alafu ndio Mange alivyo waaminisha kwamba kila mtu ni mrundi ila chadema pekee ndio watz?
Wewe ni mrundi wacha kujivika utanzania
 
Mimi ni mnyalu orijino kutoka Iringa.

Alafu ndio Mange alivyo waaminisha kwamba kila mtu ni mrundi ila chadema pekee ndio watz?
Lazima tuwarudishe kwenu Burundi
 
DC Limbukeni kweli yule jamaa, anaona UDC ndo kila kitu, mshaaambaa. Eti vile alikuwa ktk panel ya waCCCM waliohakiki mali za chama akapata UDC anaona kayapatiia Maisha, na huyo mgombea Mwakasaka naskia kamla Mil 90 waist wajumbe hawahonga mil 36 tu nyingine kapeleka pwani
 
Pamoja na umasikini ule wa Mkoa wa Tabora, achilia mbali kipato duni cha mkazi mmoja mmoja ,eti bado unakuta mtu anaichagua CCM.? kweli mnakosa mahali pa kutoa hasira zenu ,nendeni mkaiadhibu CCM kwenye Sanduku la Kura.
Kilimo cha Tumbaku Tabora leo kiko wapi..? Mazao ya misitu leo mnanufaikaje nayo,Asali ndiyo usiseme lakini wakazi ni masikini wa vipato.
 
So una maanisha wananchi wa mbeya ni matajiri sababu tu wamemchangua mbunge wa chadema kwa miaka 10?
Pamoja na umasikini ule wa Mkoa wa Tabora, achilia mbali kipato duni cha mkazi mmoja mmoja ,eti bado unakuta mtu anaichagua CCM.? kweli mnakosa mahali pa kutoa hasira zenu ,nendeni mkaiadhibu CCM kwenye Sanduku la Kura.
Kilimo cha Tumbaku Tabora leo kiko wapi..? Mazao ya misitu leo mnanufaikaje nayo,Asali ndiyo usiseme lakini wakazi ni masikini wa vipato.
 
Mimi ni mnyalu orijino kutoka Iringa.

Alafu ndio Mange alivyo waaminisha kwamba kila mtu ni mrundi ila chadema pekee ndio watz?
Iringa hakunaga wanawake malaya malaya na machangu wasio na kazi
 
So una maanisha wananchi wa mbeya ni matajiri sababu tu wamemchangua mbunge wa chadema kwa miaka 10?
Bora Mbeya miaka 10 upinzani na Mambo yanasonga vizuri sana,
Sasa Tabora tangu Uhuru anzia Tanu Mpaka CCM mnakomaa na chama ambacho hakioni tena umuhimu wenu zaidi ya kuwaletea wasanii majukwaani kwani shida za wananchi ni kusikiliza nyimbo za wasanii.
 
Tena yule kiumbe wa ajabu kutoka burigi atashangaa kipigo cha mbwa koko asubuhi na mapema kisha tunamrudisha kule Bujumbura Kwa mkokoteni wa mbuzi
 
Bora Mbeya miaka 10 upinzani na Mambo yanasonga vizuri sana,
Sasa Tabora tangu Uhuru anzia Tanu Mpaka CCM mnakomaa na chama ambacho hakioni tena umuhimu wenu zaidi ya kuwaletea wasanii majukwaani kwani shida za wananchi ni kusikiliza nyimbo za wasanii.
Mambo gani yanasonga? Budget inapitishwa na wabunge walio wengi wa chama tawala, au unafikiri sugu anajipangia budget mwenyewe?
 
Back
Top Bottom