Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia Dola na Raia ni waoga japo hawapendi mambo yanayoendelea, na hawana cha kufanya ,na kwakuwa waliopo kwenye madaraka SIO WAZALENDO, HAWATAKI KUTENGENEZA KATIBA YENYE FURSA SAWA KWA KILA MTANZANIA,
Mimi nimeona kuna mambo matatu yanayoweza kufanyiaka, japo la kwanza ni gumu

1. Tubaki na Chama Kimoja (tuondoe multiparty system) , hili jambo ni gumu lakini ni Bora kuliko kuwa na Vyama Vingi hewa na vingine vinaminywa, ambavyo vinasababisha haya tunayo yaona, mategemeo ni kuwa watanzania wote tukiwa chama kimoja basi tunaweza kupambana ndani ya chama kimoja na kuweza kupata mtu mzalendo ambaye atabadili mambo, kwakuwa kila kiongozi na utashi wake, inaweza kuchukua miaka hata 50. Lakini ugumu wa Hili ni kuwa CCM bila upinzani haiwezi kuendesha nchi kwakuwa ni takwa la watoa fedha zinazoendesha serikali (MABEBERU), so ikibakia chama kimoja inamaana ccm itakosa feza na kushindwa kuendesha nchi ikiwemo pamoja na kulipa mishahara, huduma za afya , jambo hili CCM hawawezi kukubali.

2. Hili la pili halina tofauti na ufisadi unaofanya na baadhi ya walio madarakani. Ni uzalendo feki, Ni hivi ili chadema ipate Dola lazima ishirikiane na Mataifa yenye nguvu, yatoe ahadi nzuri, kuwapa Control ya Rasilimali Muhimu, ambazo zipo Tanzania. Ukifanya hivyo bila shaka CCM katiba mpya ataleta atake asitake, reform zitafanyika, etc kwakuwa hawa watu ndo wenye Dunia.

3. Tuwe majasiri kama Kenya (Hili tumeshindwa kabisa) : Kenya huibi uchaguzi, Huonei Mtu, hutoi pesa kwenye magoli, kenya wanachagua kiongozi wanaemtaka, sisi Kiongozi anajichagua mwenyewe akisaidia na Serikali na Polisi, Na kweli kila mtu anaogopa kukosoa, Mkuu wa Majeshi Mwoga, IGP Mwoga, PM Mwoga, Makamu wa Raisi Mwoga, inawezekana hata Raisi NI Mwoga , sasa sijui nani anaendesha hii NChi. mana naanza kupata wasiwasi hata samia akitaka kubadili katiba wanaweza kumshughulikia, sasa sijui inchi inaendeshwa na kikundi alichosema polepole kinaitwa futungo. mana tusilaumu bure
 
DK.Gwajima bishop mkuu w ufufuo n uzima peleka moto tu. Mpk wameanza kudata.
Hoja ujibiwa kwa hoja TU. Mm ninavyo jua.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hayo Madini ni Mali Yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…