Bila GATLIN GUN Afrika Isingetawalika

Bila GATLIN GUN Afrika Isingetawalika

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
a25f8634d6779260fbead6d2491b1cd0.jpg

Kuanzia MauMau hadi MajiMaji Revolt pamoja na AngloZulu War Sudan MahdiWars hii Bunduki ilifanya mauwaji Ukizingatia Mababu zetu walikuwa wakitumia Mikuki na Ngao za Ngozi za Wanyama.

Hata hivyo ile Vita ya Hit and Run iliwasumbua sana Wakoloni

Shida nyingine Waafrika tungeweza kupigana Usiku ila Shida yetu ni Battle cry ni lazima tupige makelele wakati wa vita.
 
Majimaji walitumia silaha zipi? Ninachojua walitumia yale maji waliyopewa na kinjeketile ngwale wakafagiliwa wote.
 
Majimaji walitumia silaha zipi? Ninachojua walitumia yale maji waliyopewa na kinjeketile ngwale wakafagiliwa wote.
Bado pia walitumia Silaha mchanganyiko magobole mishale mikuki marungu shoka Uchawi na sumu mbali mbali ila wengi hawakubeba ngao kwasababu ngao inapunguza nguvu za dawa ya Hongo lakini Wanguni ni wabishi walibeba ngao. Pia waliambiwa masharti ya Dawa wakisikia paa!! Waseme MAJI!! Huku wakisonga Mbele huku Gatlin Gun zikimwaga risasi kama Mvua.
 
Gatlin gun ilikuwa ya marekani, nadhani unamaanisha maxim gun ambayo ilitumika sana na Waingereza, hata wakakuwa na msemo "Whatever happens, we have got, the Maxim gun, and they have not"
 
Vickers-Maxim-gun.jpg

Maxim ilikwenda ikawa Sub Machine Gun na naona Hata Browning 50 callibre wamarekani waliiga Maxim lakini Gatlin imekuja kuwa Monstar
 
downloadfile-27.jpg

Hatimaye Gatlin ilikuja Kufungwa kwenye A10
 
1_uIBunNxP-8rUNbJY7GomrQ.jpeg

Hiram Maxim Mgunduzi wa Maxim gun huyu myahudi kuna kipindi aliwahi kusema
Maxim was reported to have said: "In 1882 I was in Vienna, where I met an American whom I had known in the States. He said: 'Hang your chemistry and electricity! If you want to make a pile of money, invent something that will enable these Europeans to cut each others' throats with greater facility
Hawa jamaa wana Akili sana.
 
battle-of-adwa.jpg

Katika Mchoro huu unaonyesha Mapigano ya Adwa kati ya Majeshi ya Mfalme wa Ethiopia na Waitaliani ukiangalia Vizuri utaona Majeshi ya Ethiopia yakitumia Maxim gun..Ethiopia ni Nchi pekee ya Kiafrika ambayo haijawahi kutawaliwa kwa iwe kwa nguvu au kwa hiari.
 
Afrikakonferenz.jpg

Mkutano wa Berlin 1884 wa kuligawa Bara la Afrika
 
Halafu akaja Mikhail Kalashnikov na Bunduki yake Depopulation gun AK 47 hii ndio Bunduki iliyotoa Roho za watu wengi kuliko zote hapa Duniani Bei yake ilikuwa rahisi na Cold War Zilimwangwa kama njugu kwa kila Mkomunisti na mjamaa

2fcd6752ba80161643474c05a9254438.jpg

Ni moja ya Bunduki iliyomfanya Hitler aogelee kwenye pipa la Acid.
 
View attachment 1036007
Kuanzia MauMau hadi MajiMaji Revolt pamoja na AngloZulu War Sudan MahdiWars hii Bunduki ilifanya mauwaji Ukizingatia Mababu zetu walikuwa wakitumia Mikuki na Ngao za Ngozi za Wanyama.

Hata hivyo ile Vita ya Hit and Run iliwasumbua sana Wakoloni

Shida nyingine Waafrika tungeweza kupigana Usiku ila Shida yetu ni Battle cry ni lazima tupige makelele wakati wa vita.
Sio kweli kuhusu kupiga kelele mda wa vita we nahisi umeharibika kifikra labda kwasababu ya filamu unazotazama. Vita ina mbinu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli kuhusu kupiga kelele mda wa vita we nahisi umeharibika kifikra labda kwasababu ya filamu unazotazama. Vita ina mbinu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Battle cry imewaganda baadhi ya makabila wahehe kwa mfano walikuwa wakicharge walikuwa wakisema he!he!he!he! Wakaitwa wa hehe na ni njia mmoja ya kumtisha adui yako kisaikolojia Wazulu pia wana Battle Cry yao...sijaharibika kifikra unaweza kuniambia huku ukinitolea mifano kuliko kuwa mchokozi.
 
Back
Top Bottom