imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kuanzia MauMau hadi MajiMaji Revolt pamoja na AngloZulu War Sudan MahdiWars hii Bunduki ilifanya mauwaji Ukizingatia Mababu zetu walikuwa wakitumia Mikuki na Ngao za Ngozi za Wanyama.
Hata hivyo ile Vita ya Hit and Run iliwasumbua sana Wakoloni
Shida nyingine Waafrika tungeweza kupigana Usiku ila Shida yetu ni Battle cry ni lazima tupige makelele wakati wa vita.