GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Huyu dada atakuwa na matatizo ya akili si bure leo kwa mara nyingine ananambia eti ye kaangalia wote anaona mimi ndo tunaweza oana umri wake miaka 33 choka mbaya wewe miaka 34 uje uolewe na mimi kweli una akili? mimi nina over 40 ndiyo lakini siwezI oa mwanamke ambaye amekuwa so used kiasi hicho.
Mwanaume lazima ujiulize huyu dada wakati wenzie wote wanaolewa yeye alikuwa anafanya nini?kama chuo alishamaliza zamani sana na akawa anafanya kazi yeye alitaka ale na aliwe bata leo anaona imeshakuwa jioni ndo aje aniangushie gari mimi.
Vijana nawaasa msije mkajiingiza kwnye matatizo haya kwa kuona mdada ni mrembo na ana pesa eti ndo aje amalizie siku zake kwako muda si mrefu anaingia menopause huyu dada then ndo tuzae mimi na yeye akiwa na miaka 32 nilidhani ananitania ile leo nimemcheck usoni kwa umakini anaonekana yupo serious kabisa.
USIOE MDADA AMBAYE UMRI UMEENDA. UJUE WENGI WALIMWONA HAFAI HUKO NYUMA...usidanganyike ukiona hivyo ujue hakufaa toka zaman. wanawake wenye kufaa huolewa wakiwa na miaka 20-28 usibishe. wa 30+ basi ujue alishaachika au watu walikuwa wanajigongea wanaondoka. na unaweza kuta ana mtoto au alishatoa sana mimba.
Nimeacha hata kula chakula ambacho sometime huwa ananiletea toka kwake kwa ajili ya lunch maana nisije kuta naanza kumpenda bure hasa kwa kuwa nimemwambia kuwa ni ngumu sana mimi kuoana na yeye hata mengi na umri wake ule ametafuta kabinti mimi ndo nikatafute mzee mwenzangu? no way. au ndo waswahili wanasema "GANDA LA MUA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO? sitaki nataka mtoto wa miaka kuanzia 24 mpaka 28 hayo mauzee yenu kaeni nayo wanawake wenyewe wa siku hizi mnaanza mapenzi mapema kama yule mwingine anasema alianza akiwa na miaka 16 .
Imagine mtu ana uzoefu wa miaka 16 katika game wakati mimi uzoefu wangu ni miaka 10 tu