GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
- Thread starter
- #181
hash= harsh .. hapana ndugu yangu mimi sipo harsh ni kijana mpole sana na mwenye nidhamu ya hali ya juu sana. kiukweli kwa mademu nliowah kuwa nao wengi hunisifia hilo kuwa ni mpole na mnyekekevu sana hasa ninapotaka tendo la ndo ndo huzidi kuwa mnyenyekevu. mengi ana umri gani? kaoa mwanamke wa umri gani? unadhani hakuona wazee wenzie? kuna ofaut kubwa sana ya kiumri kati ya mwanamke na mwanaume. binafsi nahitaji kuoa mwanamke ambaye nimemzidi miaka 15.si pungufu.
Gudume naona kama uko so hash...ww mwenyewe mzee...mbona hujaoa mapema??..Na kwa umri wako kama unataka kuoa under 30 ni ubabe tu