Bila Hayati Magufuli; Wabunge, madiwani na wenyeviti wa vitongoji leo wasingekuwa kwenye hizo nafasi

Bila Hayati Magufuli; Wabunge, madiwani na wenyeviti wa vitongoji leo wasingekuwa kwenye hizo nafasi

Huyu shetani atasimangwa mpaka vizazi na vizazi kwa dhuluma zake dhidi ya watanzania
alifanya hivo ili wampigie debe atawale miaka mingine kumi km siyo milele!!

Kuuumbe wana palilia upinzani mwaka2025 mie ntagombea upinzani. Musoma mjini.
 
Hilo sasa ndilo lilimkasirisha MUNGU na akatoa adhabu kali kwa mwendazake. Unaiba kura zote kibwege halafu unasema niombeeni kwa MUNGU? Mungu gani wa Magufuli alitaka tumuombee?

Baada ya kuiba kura kwanza ameteseka kwenye mashine za oxygen na amekaa na Utawala wa wizi kwa siku 120. Ogopa sala za watu wengi waliodhuumiwa.
kabisaaa eti lilikuwa linaenda kusali kanisani baada ya wizi.

bila hata mshipa wa aibu. Lilikuwa lina mdhihaki Mungu jamani hee?? Sababu ya kibri cha madaraka Likasahau kuwa Mungu hadhihakiwi??

Kumbe marehemu lilikuwa jizi tena la wazi wazi??? Rais fake!! Na wafanyakazi halali!

Ndo maana hata halikupata nafasi ya kutubu.alichokitaka kakikosa na hao wabunge wajiandae kushindwa vibaya sana.
Huwezi iba kila siku ukabaki salama Yatakukwama tu.
Km alikuwa mwizi hivo asinge mtaja Mungu huenda ange salimika .aliondoka ghafla mno ile ni dalili ya dhambi
 
Alikuwa anafanya kufuru. Kutenda dhambi zile haradu ukaendelea kwenda kanisani kinafiki Mungu hapendi
 
Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya.

Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.

Wenyeviti wa vitongoji ndiyo kabisaa hata uchaguzi hatukufanya walipitishwa bila kupingwa, yote hiyo ni hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.

Kwa mifano michache tu wabunge wafuatao kamwe wasingerudi Bungeni kama ubabe wa hayati Magufuli isingetumika.

1. Ndugai
2. Lukuvi
3. Mkuchika
4. Mbunge wa Kilwa ( kule kwa bwana Bwege)
5. Tulia Ackson
7. Mbunge wa Ikungi( kwa Lissu)
8. Mbunge wa Hai
9. Mrisho Gambo
10. Mbunge wa Mikumi
11. Mbunge wa Iringa mjini
12. Mbunge wa Mbarali
13. Mbunge wa Kigoma mjini ( kwa Zitto Kabwe)
14. Salma Kikwete
15. Wabunge Pemba yote
16. Majimbo 10 Unguja
17. Mwita Waitara
18. Askofu Gwajima
19. Mkoa wa Lindi wote except ( Mtama na Ruangwa)
20. Mkoa wa Mtwara wote (except majimbo matatu tu).
21. Mbunge Bukoba mjini
22. Abood (Morogoro mjini)

Hiyo ni mifano michache, lakini 40% ya wabunge waliopo Bungeni wamebebwa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.

Sasa maadamu Mama Sami S Hassan ataruhusu watu wachague kwa haki, tuombe uzima 2025 muone kitakacho watokea CCM.
Wengine ni

1. Palamagamba
2. Kassimu majaliwa
3. Mwita
4.Nape
5. Gwajima
5. Kitila
6. Temba
7. Etc
 
Kwa nini unaamini 2025 uchaguzi utakuwa wa haki?
Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya.

Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.

Wenyeviti wa vitongoji ndiyo kabisaa hata uchaguzi hatukufanya walipitishwa bila kupingwa, yote hiyo ni hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.

Kwa mifano michache tu wabunge wafuatao kamwe wasingerudi Bungeni kama ubabe wa hayati Magufuli isingetumika.

1. Ndugai
2. Lukuvi
3. Mkuchika
4. Mbunge wa Kilwa ( kule kwa bwana Bwege)
5. Tulia Ackson
7. Mbunge wa Ikungi( kwa Lissu)
8. Mbunge wa Hai
9. Mrisho Gambo
10. Mbunge wa Mikumi
11. Mbunge wa Iringa mjini
12. Mbunge wa Mbarali
13. Mbunge wa Kigoma mjini ( kwa Zitto Kabwe)
14. Salma Kikwete
15. Wabunge Pemba yote
16. Majimbo 10 Unguja
17. Mwita Waitara
18. Askofu Gwajima
19. Mkoa wa Lindi wote except ( Mtama na Ruangwa)
20. Mkoa wa Mtwara wote (except majimbo matatu tu).
21. Mbunge Bukoba mjini
22. Abood (Morogoro mjini)

Hiyo ni mifano michache, lakini 40% ya wabunge waliopo Bungeni wamebebwa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.

Sasa maadamu Mama Sami S Hassan ataruhusu watu wachague kwa haki, tuombe uzima 2025 muone kitakacho watokea CCM.
 
Ila Watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani tulishamshindwa huyu dhalim, imagine mabilioni yote yaliyotumika kwenye chaguzi zote mbili lakini matakwa ya wapiga kura yakapuuzwa ili kupisha matakwa ya mtu mmoja tu.
 
Huyu shetani atasimangwa mpaka vizazi na vizazi kwa dhuluma zake dhidi ya watanzania
Uzuri sisi tunaoitwa wazandiki tulimwambia isipokuwa alikuwa haambiliki.Ngoma tunayopiga huku mitandaoni mirindimo yake huwafanya walazimike kucheza na kudemka.Nia yetu ni,njema na mitandao ndiyo the only option we had to address issues.
Mh.Rais Samia S.Hassan, sikiliza wasemacho waliopo mitandaoni maana sasa hivi hakuna Bunge,Madiwani wala Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji.Wote walipatikana kwa njia haramu na kwa jinsi hiyo hawawakilishi wapiga kura/Wananchi.
Nchi yetu inahitaji Katiba Mpya na mihimili ya serikali inayojitegemea na huru.Tunaimani na Rais wetu Samia kuwa atatuletea Suluhu ya kudumu kwa ustawi wa Taifa letu.
Mwenyezi Mungu akujaalie "Subra" ili utende kwa Haki.
 
alifanya hivo ili wampigie debe atawale miaka mingine kumi km siyo milele!!

Kuuumbe wana palilia upinzani mwaka2025 mie ntagombea upinzani. Musoma mjini.
Tena mumshukuru sana...amewaletea maendeleo huko muache unafiki.

Musoma nimekaa kama miaka nane iliyopita..nilirudi kuwajua hali wana huko mwaka jana nikakuta maboresho makubwa sana!

Ile hospital yenu kaikarabati

Barabara kazipalilia haswa...tena maeneo ya nyasho hapo nilipotea.

Nilishangaa kawawekea na mataa ya barabarani.

Mwisho nataka nikuoe upo tayari? Tuyajenge mummy
 
Hakuna bunge ni genge la majambazi
Mimi hofu yangu ni ni hii: Huu ujinga wa kuendesha uchaguzi wa kiharamia na kupitisha wagombea kwa nguvu za dola usije kuwa ndiyo ''norms'' mpya kwa nchi yetu. Yaani isijekuwa hata mama Samia naye atakuwa amejifunza na yuko tayari kufanya hivyo hivyo. Unajua miaka ya nyuma bado kilikuwa na wizi lakini angalau ulikuwa siyo uporaji kama huu. Na mbaya zaidi wameshajua kuwa wananchi hawawezi kufanya lolote. Hapa tutegemee tu busara za mama Samia za kujua kuwa uchaguzi huru na wa haki huzaa viongozi bora hivyo kufanya kinyume chake ni kujichimbia kaburi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom